Matunda gani unaweza kula na wali/ubwabwa?

Tikiti maji. Vipande vidogo vidogo raha sana
 
Tukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
Mtoa mada licha ya kuwa nimeshachangia mara nyingi kwenye huu uzi, leo naomba nichangie kwa kuweka na picha za baadhi ya matunda hayo.[emoji120]
 
Ahsante wote kwa michango yenu sasa Nimejua matunda mengi ninayoweza kula sambamba na chakula changu pendwa, ubwabwa (chembe ndefu).

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…