Matunda gani unaweza kula na wali/ubwabwa?

Hii dorian ndo tunda gani, maana tumezoea dorian kwenye muziki ni aina mojawapo ya scale

Mimi najua tunda linaloitwa Durian ambalo linapatikana sana Thai na Malaysia na lina harufu mbaya sana kama mtaro uliooza ila ni tunda tamu sana
Huko Thai ni marufuku kubeba kwenye public transports kwa harufu yake [emoji3517]
 
Papai lililoiva au Tikiti...inaweza jilamba kisogo
 
Machungwa pia unakamulia ile juice yake juu ya wali wenye mchuzi bomba sana, sijawahi kujaribu na wali mkavu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…