Matunda gani unaweza kula na wali/ubwabwa?

Wali + maharage+ nanasi.... Msimu wa nanasi huwa vinanikoma.

Tango unalikata kidogo kidogo, chumvi kidogo + mayonise

Embe, papai, tikiti pia yanaenda sana na ubwabwa
 
muwa hutakaa u
Tukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
muwa bana weee! hutakaa usahau kata vipande vidogo vidogo then chnganya humo! jamani mwee!! tamuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…