Matunda haya yanaitwaje kwa lugha ya kiswahili na kikwenu?

Sioni tofauti hapo.
ipo mkuu,narudia Berries ni collective name,nakupa mfano,muhogo na chakula!Berries zipo aina nyingi kwa mfano,mulberries,strawberries,blue berries,rasberries,black berries,cranberries,lingonberrie,goeseberries,bilberries,muskberries na kadhalika,kwa hyo hizo ni mulberries ambazo zinaingia kundi la berries!
 
Kwangu sioni tofauti. Bado ni berries.
 
Shule nayo mhimu ehii endelea kutujuza[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kwangu sioni tofauti. Bado ni berries.
Ni kweli mtu huona nachotaka ila ukifika supermaket waambie nataka berries watakuuliza aina ipi hyo ndiyo tofauti yake sipendi uwe huzijui jina lake halisi,wakikuuliza waambie nataka mulberries!
 
Sio mulberries tu bali red mulberries. Kwa sababu kuna white mulberries pia.
 
ukienda deep ni sawa maana mulberiies ni collective name ya zao hili kwa hyo collective name ni mulberries then unaamua ni white au red unataka!
 
34f9281639dc1c87e9208aaea03bcf4e.jpg
hayo ndoo furusadi yako tofauti kabisa na hayo
Yako sawa mkuu hakuna tofauti
 
Back
Top Bottom