Matunda haya yanaitwaje kwa lugha ya kiswahili na kikwenu?

Woow yanaitwa Vitamutamu navipendaa[emoji7]
9fd08d09b049ee42113211b4ecbd00e3.jpg
f
 
Na haya yanaitwaje?
View attachment 1355736

Sent from my iPhone using Tapatalk
Siyajui jina nimeyala ni matam balaa kuyala kwangu kipindi niko jeshini tulitoroka tukaenda kulala chaka ndio tulikoyakuta yameiva jamaa zangu naona wanakula mi nikauliza hayaliwi ile kusema kwao wanayala na mimi nikaonja ile kunogewa utamu nilienda kuyazoa yote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukanogewa
Jina ndio hilo
Matamu sana kwa kweli

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom