Matunda haya yanaitwaje kwa lugha ya kiswahili na kikwenu?

Matunda haya yanaitwaje kwa lugha ya kiswahili na kikwenu?

Tulikuwa tunayaita Madala tulipokuwa wadogo.
Huwa yana yanazaa kwenye msimu miliwi kwa mwaka kwenye hali ya hewa ya tropika. Niko na mti wake nyuma ya nyumba yangu. Ndege huwa wanajenga nyumba yao mwezi kabla ya kuzaa matunda haya kwa nia ya kula.
 
yalinifanyaga nikapata na dem wa kiarabu enzi hizo
 
d03a6a9f33bc33c1b22414e32b1081b4.jpg
furusadi hayo hapo
Fursadi pamoja na furu
 
Back
Top Bottom