ipo mkuu,narudia Berries ni collective name,nakupa mfano,muhogo na chakula!Berries zipo aina nyingi kwa mfano,mulberries,strawberries,blue berries,rasberries,black berries,cranberries,lingonberrie,goeseberries,bilberries,muskberries na kadhalika,kwa hyo hizo ni mulberries ambazo zinaingia kundi la berries!Sioni tofauti hapo.
Kwangu sioni tofauti. Bado ni berries.ipo mkuu,narudia Berries ni collective name,nakupa mfano,muhogo na chakula!Berries zipo aina nyingi kwa mfano,mulberries,strawberries,blue berries,rasberries,black berries,cranberries,lingonberrie,goeseberries,bilberries,muskberries na kadhalika,kwa hyo hizo ni mulberries ambazo zinaingia kundi la berries!
Ni kweli mtu huona nachotaka ila ukifika supermaket waambie nataka berries watakuuliza aina ipi hyo ndiyo tofauti yake sipendi uwe huzijui jina lake halisi,wakikuuliza waambie nataka mulberries!Kwangu sioni tofauti. Bado ni berries.
Sio mulberries tu bali red mulberries. Kwa sababu kuna white mulberries pia.Ni kweli mtu huona nachotaka ila ukifika supermaket waambie nataka berries watakuuliza aina ipi hyo ndiyo tofauti yake sipendi uwe huzijui jina lake halisi,wakikuuliza waambie nataka mulberries!
Naihitaji sana miti, vp nikuoneFurusadi. Kwetu tunayo miti yake
ukienda deep ni sawa maana mulberiies ni collective name ya zao hili kwa hyo collective name ni mulberries then unaamua ni white au red unataka!Sio mulberries tu bali red mulberries. Kwa sababu kuna white mulberries pia.
Sio mang'ang'a?mandongomilo
Ndio maana nikasema berries.ukienda deep ni sawa..
Hapana hizo ni berries aina ya mulberries ambazo ni red mulberriesNdio maana nikasema berries.
Yako sawa mkuu hakuna tofautihayo ndoo furusadi yako tofauti kabisa na hayo
Wewe mbona mbishi?Hapana hizo ni berries...
Achauongo wewezabibu