Habari wakuu, nafanya biashara ya kusupply matunda kwa wafanyakazi wa ofisini mkoa wa iringa maeneo ya mjini. Matunda yetu ni fresh na ni mchanganyiko wa matunda mbalimbali na yanakua packed kabisa kwenye lunch boxes. Kama unahitaji tafadhali niPM. Tunakuletea muda wa lunch ofisini kwako, Karibuni sana.
Taja na aina za matunda unayo-park, sababu unaweza niwekea mikusu wakati mimi haipandi. Kuna mdada mmoja nilimwona pale stand miyomboni na matunda juzi juzi hapa ulikuwa ni wewe nini?
Hahahahahah mikusu hapana matunda nayopack ni kulingana na yanavyopatikana kwa msimu kama maembe, mananasi, maparachichi, tikitimaji, ndizi mbivu, matango, carrots, mapapai, etc na apples kama utapenda. Hapana siyo mimi huyo uliemuona.
Hahahahahah mikusu hapana matunda nayopack ni kulingana na yanavyopatikana kwa msimu kama maembe, mananasi, maparachichi, tikitimaji, ndizi mbivu, matango, carrots, mapapai, etc na apples kama utapenda. Hapana siyo mimi huyo uliemuona.
Habari wakuu, nafanya biashara ya kusupply matunda kwa wafanyakazi wa ofisini mkoa wa iringa maeneo ya mjini. Matunda yetu ni fresh na ni mchanganyiko wa matunda mbalimbali na yanakua packed kabisa kwenye lunch boxes. Kama unahitaji tafadhali niPM. Tunakuletea muda wa lunch ofisini kwako, Karibuni sana.
Hapana siyo ya muda plan yangu ni kuja kusupply siyo maofisini tu bali hata kupata tenda za kupeleka kwenye shule za msingi na sekondari.
Unaniangusha dada, plan yako lazima iwe pana zaidi, ku-supply matunda shuleni wengi wanaweza kufanya hapo Iringa, naomba nikupe home work moja kubwa sana.
Shuka hapo Ipogoro Stand ya Mabasi, unapoingia Stand kutoka njia ya Mby, upande wako wa kulia, kuna banda la TTCL, usilifikie, ingia kulia. Jengo la tatu kama sio la pili kuna kiwanda cha kusindika Matunda. Jitahidi urafikiane na mwajiriwa mmoja wa kiwandani pale, anza kama mteja wa juisi. Kutoka mle ndani utapata siri nyingi za kusindika matunda.