Toplady
Senior Member
- May 13, 2014
- 192
- 80
Habari wakuu, nafanya biashara ya kusupply matunda kwa wafanyakazi wa ofisini mkoa wa iringa maeneo ya mjini. Matunda yetu ni fresh na ni mchanganyiko wa matunda mbalimbali na yanakua packed kabisa kwenye lunch boxes. Kama unahitaji tafadhali niPM. Tunakuletea muda wa lunch ofisini kwako, Karibuni sana.