Matunda kwa wafanyakazi Iringa

Matunda kwa wafanyakazi Iringa

Toplady

Senior Member
Joined
May 13, 2014
Posts
192
Reaction score
80
Habari wakuu, nafanya biashara ya kusupply matunda kwa wafanyakazi wa ofisini mkoa wa iringa maeneo ya mjini. Matunda yetu ni fresh na ni mchanganyiko wa matunda mbalimbali na yanakua packed kabisa kwenye lunch boxes. Kama unahitaji tafadhali niPM. Tunakuletea muda wa lunch ofisini kwako, Karibuni sana.
 
Taja na aina za matunda unayo-park, sababu unaweza niwekea mikusu wakati mimi haipandi. Kuna mdada mmoja nilimwona pale stand miyomboni na matunda juzi juzi hapa ulikuwa ni wewe nini?
 
Hahahahahah mikusu hapana matunda nayopack ni kulingana na yanavyopatikana kwa msimu kama maembe, mananasi, maparachichi, tikitimaji, ndizi mbivu, matango, carrots, mapapai, etc na apples kama utapenda. Hapana siyo mimi huyo uliemuona.
 
Asante,

Kwa nini sasa usitengeneze juisi ya mikusu kila msimu wake unapofika?
 
Hahahahahah mikusu hapana matunda nayopack ni kulingana na yanavyopatikana kwa msimu kama maembe, mananasi, maparachichi, tikitimaji, ndizi mbivu, matango, carrots, mapapai, etc na apples kama utapenda. Hapana siyo mimi huyo uliemuona.

Ok,

Kama mikusu hapana, what is your future plan kwenye biashara yako hii, au ni ya muda tu?
 
hongera kwa ubinifu wako mkuu nami nina tegemea kuanzisha biashara kama yako mkoa mwingine wa nyanda za juu kusini nafurahi kuona vijana tuna amua kufanya vitendo na sio maneno matupu
 
Hongera. Bei shiling ngap? Tafadhali nijibu nikuelekeze mahali nilipo uniletee kila siku
 
Samahani nmechelewa kujibu ni shilingi 2000 tu kwa package. Karibu sana
 
hongera kwa ubinifu wako mkuu nami nina tegemea kuanzisha biashara kama yako mkoa mwingine wa nyanda za juu kusini nafurahi kuona vijana tuna amua kufanya vitendo na sio maneno matupu

Asante sana mkuu all the best nakutakia mafanikio
 
Habari wakuu, nafanya biashara ya kusupply matunda kwa wafanyakazi wa ofisini mkoa wa iringa maeneo ya mjini. Matunda yetu ni fresh na ni mchanganyiko wa matunda mbalimbali na yanakua packed kabisa kwenye lunch boxes. Kama unahitaji tafadhali niPM. Tunakuletea muda wa lunch ofisini kwako, Karibuni sana.

mie nahitaji mifudu, misasati, mbo.ro 3 , matunda ugali , mapindigesi, na mitoo.
Napatikana ungandembwe na igumbilo.
 
Ok,

Kama mikusu hapana, what is your future plan kwenye biashara yako hii, au ni ya muda tu?

Hapana siyo ya muda plan yangu ni kuja kusupply siyo maofisini tu bali hata kupata tenda za kupeleka kwenye shule za msingi na sekondari.
 
Unaniangusha dada, plan yako lazima iwe pana zaidi, ku-supply matunda shuleni wengi wanaweza kufanya hapo Iringa, naomba nikupe home work moja kubwa sana.

Shuka hapo Ipogoro Stand ya Mabasi, unapoingia Stand kutoka njia ya Mby, upande wako wa kulia, kuna banda la TTCL, usilifikie, ingia kulia. Jengo la tatu kama sio la pili kuna kiwanda cha kusindika Matunda. Jitahidi urafikiane na mwajiriwa mmoja wa kiwandani pale, anza kama mteja wa juisi. Kutoka mle ndani utapata siri nyingi za kusindika matunda.
 
Asante mkuu nashukuru kwa ushauri wako
 
Kwa mtazamo wangu tsh 2000 ni bei kubwa sana. Tengeneza package za bei tofauti tofauti yaan kuanzia 500, 1000, 1500 na 2000. Hii itatufanya hata sie wenye bajet ndogo za lunch kupata mlo pamoja na matunda. Ni ushauri tu. Jaribu kutembelea ofis za wafanyakazi wa chuo cha mkwawa. Unaweza pata soko
 
Back
Top Bottom