Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanx....
Leo hebu kila mtu a share unachanganyaje matunda? au wala moja moja
Mie leo nimechanganya strawberries,papai,zabibu na apple vyote ratio sawa then naweka yogurt juu nakula
Mie napenda sana mapapai na huwa sipendi kuchanganya na chochote na hupenda kuyala asubuhi kabla ya breakfast, pia napenda sana machungwa, zabibu, ndizi, strawberries na apples lakini vyote hupenda kula bila kuchanganya. Mara moja moja hununua yenye matunda mbali mbali ambayo yameshanganywa. Juice si mpenzi sana napenda matunda yenyewe kwani juice imeshakuwa diluted.
nachanganya nanansi na strobery au mango na mbogamboga natengenezaga smoothy nzito ni tamu sana
Mbona hujaweka makatapera na ndizi kwenye fruit salad yako?
nachanganya nanansi na strobery au mango na mbogamboga natengenezaga smoothy nzito ni tamu sana
hata hivyo unavyofanya ni sawa
Yeah kila mtu apendavyo ila mie napenda hivo siku nyengine naweka mango syrup mdadala wa yogurt kula moja moja naona kazi mwenzio ila mie pia sinywi juice nakuunga mkono kuwa matunda unakua ushayazimua....lakin BAK umewahi jaribu? Lol
Nanasi napenda harufu yake jamani natia kipande kwenye maji alafu nakunywa lol
Nanasi pia bomba sana,

Nanasi ni kati ya matunda yenye kiasi kidogo sana cha nutrients za muhimu mwilini
nachanganya nanansi na strobery au mango na mbogamboga natengenezaga smoothy nzito ni tamu sana
hata hivyo unavyofanya ni sawa
Napenda sana smoothies, na nachanganya na mtindi au icecream.
mimi sipendi papai, lakini nachanganya matunda yoyote tu sina combination maalum. Ila apples zilizokatwa na kumwagiwa apple flavoured yoghurt is my favourite
Mkuu kuna smoothie za kifilipino, mix water melon, kiwi, ice-cream, honey, egg melon, milk, mandarin na ndizi dah balaal
he he heeeee, za brasil wanapendaga sana kumix na chachandu........ kama si mpenzi wa pilipili itakuwa imekula kwako bestMmh, huko ufilipino sijawahi kwenda. Hebu niambie za brasil manake ndo nna mpango wa kwenda kuangalia mpira
cc Mbu