Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Utusi wa kitandani auUtusi unakusumbua!
Na watawalenga kweliWe ni banyamulenge
Hio congo jeshi hata combat tu hawana endeleeni kuota na mjinyee humohumo kwenye ndoto zenu,,,,,,,game ni ile ile ambush hadi hao walio nyuma ya Tshisekedi waisome nambaUnaota ndoto. Kale ugali ushibe uote ndoto zaidi.
Kagame ndiyo kaishia hapo. Congo ya Mobutu ilishakwisha. Ni kweli kabisa M23 trained by chinese, lakini baada ya siri hiyo kufunguka ndiyo mwisho. Lini umewahi kuona Taifa ambalo limesaidiwa na mkomunist liakendelea? Propaganda tu hizo. China needs the West for its Development, West doesn't need China. Nyie mmeoshwa akili hadi hamjui geopolitics za ulimwengu
HeheheNasikia siku ile alimgombeza Putin kama mtoto, putin akaishia kupiga magoti akiomuomba bi Rango msamaha.
Hehe hata Ukraine kasaidiwa na mkomunist ndo maana sahivi wanalamba mchanga. ....endeleeni kukariri mambo hivyo hivyo.....mchezo umebadilika na hii ndio New World Order nyie endeleeni na madesa yenu ya enzi za wakina Hitler, gandeni hukohuko ila mfumo umeshabadilika hakuna monopoly kwa sasa Global South vs the WestUnaota ndoto. Kale ugali ushibe uote ndoto zaidi.
Kagame ndiyo kaishia hapo. Congo ya Mobutu ilishakwisha. Ni kweli kabisa M23 trained by chinese, lakini baada ya siri hiyo kufunguka ndiyo mwisho. Lini umewahi kuona Taifa ambalo limesaidiwa na mkomunist liakendelea? Propaganda tu hizo. China needs the West for its Development, West doesn't need China. Nyie mmeoshwa akili hadi hamjui geopolitics za ulimwengu
Ni mimi yule yule. Wazo la kubinafsisha Bandari zetu nilishawahi kulitoa mwaka 2022 kabla hata masuala ya DP World hayajaja rasmi.Hivi lini umegeuka 180 degrees? Wewe ulikua supporter sana wa huu utawala wa CCM hasa kwenye DPWorld, vipi tena? Au siyo ID yako nimechanganya? Maana hii point inabidi uwe na IQ kubwa ndiyo uandike, Bi ushungi au JK thubutu.
Mjidanganye tu. West hata Wachina wako hao; wote uangalia maslahi. Uliona kule Gaza? Yale mabomu? Rafiki mkubwa wa Palestina, Mrusi, Mchina, Irani, Waarabu wote walikuwa wapi? Jibu ni kuwa hakuna maslahi hasa dume la Mbwa likianza kazi. Mchina sijui nani wote hufyata.Hio congo jeshi hata combat tu hawana endeleeni kuota na mjinyee humohumo kwenye ndoto zenu,,,,,,,game ni ile ile ambush hadi hao walio nyuma ya Tshisekedi waisome namba
Wanaume wa CCM wanaojitambua wakwapi?Brainwash ya CCM imeharibu sana wanawake wa Tanzania, ni wachache sana wanaojitambua
BravoNi mimi yule yule. Wazo la kubinafsisha Bandari zetu nilishawahi kulitoa mwaka 2022 kabla hata masuala ya DP World hayajaja rasmi.
Hadi leo naunga mkono hoja ya Bandari na Viwanja vya Ndege kuendeshwa kwa mfumo wa PPP.
Kama umekuwa ukinifuatilia mimi tangu 2015 utagundua kuwa mimi ni muumini wa Haki, Utawala Bora na Maendeleo ya Uhakika na sio chama wala mtu.
Nilikuunga mkono Magufuli 2015 na nikaacha kumuunga mkono baada ya kuanza vitendo vya kudidimiza Haki na kutofuata Utawala Bora. Pia kuna maeneo nimeiunga mkono Serikali ya Samia na kuna maeneo sikubaliani nayo.
hahahaha. Umenichekesha kweliUmlinganishe Kayikwamba na Jenister mhagama? Mtu mwenye asili ya Kijerumani aliyesoma Harvard ulinganishe na hao machawa
Nikisema wanawake waliopo CCM hawajitambui sina maana kuwa wanaume wa CCM wanajitambua, nachojua ni kuwa wengi ya wanaume wa CCM ni Chawa. Wakiwa na mimi wanavyosema CCM ilivyo na ukisikia wanayoongea jukwaani hapo ndiyo unashangaa. Real 99.99% ni Chawa.Wanaume wa CCM wanaojitambua wakwapi?
Mrusi hana shida na Israel....na ndo maana kwa sasa zinaiva na Trump ambae anawaminya wa ulaya ila anamboost Netanyahu...Mrusi hana interest ya maana hapo mashariki ya kati kama Mmarekani ila huku Afrika Mrusi na Mchina nao focus ipo huku.....kama enzi hizo tu Tanzana na uchumi wake aliwasumbua makaburu wa Afrika kusini na wakoloni wengine unadhani kwa sasa akikaa mchina na mrusi anatoka mtu? Tena hao ni mafundi wa guerilla warfare kuliko hata hao wamagharibi,,, hao wazungu watabaki majangwani tu huko ila msituni kazi hawaiweziMjidanganye tu. West hata Wachina wako hao; wote uangalia maslahi. Uliona kule Gaza? Yale mabomu? Rafiki mkubwa wa Palestina, Mrusi, Mchina, Irani, Waarabu wote walikuwa wapi? Jibu ni kuwa hakuna maslahi hasa dume la Mbwa likianza kazi. Mchina sijui nani wote hufyata.
Kwa kifupi Wanawake na Wanaume waliopo CCM ni maiti zinazotembea.Nikisema wanawake waliopo CCM hawajitambui sina maana kuwa wanaume wa CCM wanajitambua, nachojua ni kuwa wengi ya wanaume wa CCM ni Chawa. Wakiwa na mimi wanavyosema CCM ilivyo na ukisikia wanayoongea jukwaani hapo ndiyo unashangaa. Real 99.99% ni Chawa.
You must be OLd School or just lazy to google.Mrusi hana shida na Israel....na ndo maana kwa sasa zinaiva na Trump ambae anawaminya wa ulaya ila anamboost Netanyahu...Mrusi hana interest ya maana hapo mashariki ya kati kama Mmarekani ila huku Afrika Mrusi na Mchina nao focus ipo huku.....kama enzi hizo tu Tanzana na uchumi wake aliwasumbua makaburu wa Afrika kusini na wakoloni wengine unadhani kwa sasa akikaa mchina na mrusi anatoka mtu? Tena hao ni mafundi wa guerilla warfare kuliko hata hao wamagharibi,,, hao wazungu watabaki majangwani tu huko ila msituni kazi hawaiwezi
Hivi huyo Ansbert Mgurumo aliyekuwa anaifukunyua sana serikali ya awamu ya tano siku hizi yuko wapi? Mbona simskii kabisa au kashalambishwa asali huko huko ughaibuni ndio maana yuko kimya???Hahahaha unamaanisha yule Ansbert Ngurumo?
Bora Chahali kidogo anajitahidi na anaonekana ana akili ingawa nae kuna muda anapuyanga.
Hata hao waliomuangusha Asad Syria umeona wana bifu na mrusi? Mrusi hawezi akakomaa hapo mashariki ya kati maana kwa mafuta anayo ya kutosha hao wasio na rasilimali za kutosha lazima wakaze msuli.......na wakajiroga wakataka kuanzisha mambo yao huko Msumbiji huyohuyo Mnyarwanda akawatuliza bado DRC ,,,,,,.......Ukraine walijitutumua ila kwa sasa yako wapi? ......DRC kwa sasa inaenda kumegwa kama ilivyomegwa Sudan watch this... kama mrusi alivyoimega Ukraine mfumo huohuo unaenda kufanya kazi DRC.....nyie ma puppet wao endeleeni kutoa povu ila hamna nguvu ya kuzuia jambo lolote kwa sasaYou must be OLd School or just lazy to google.
Who kept Syria surviving - Russia
Who is supporting Iran - Russia and China
Syria (Asad) imepinduliwa baada ya Mrusi kuzidiwa Ukraine.
Sasa ku-compare Tanzania na South Africa ya wakati ule, sijui uchumi upi uaosema.
Kumbe kweli we ni Mnyarwanda mtutsi mke wa mkuu wa mkoa x, duuh! sasa tahadhari ni muhimu.I don't accept Tshekedi, bora zaidi aondoshwe, Akili zake anazijua mwenyewe kiuchumi. (Unforecasted)