Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Naomba aliekuwa ametoa agizo la kutoa tinted afuatiliwe pengne alikuwa ameshaona gari la Mh kuwa akiwa ndan haonekan jinsi ya kushutiwa pengine akatoa tamko kimkoa likimlenga mtu mmoja tu TLS Prezidaa.
Huwezi kuhusisha agizo na tukio hili.
 
Nimewaza harakahara kwanini Mh Lissu hakurukia seat ya nyuma chapchap, anyway Haya mambo hayana formula asee

Hili jambo mwenyewe nimeliwaza sana, lakini kwa hile purukushani sidhani kama angekua na hilo wazo.
 
Upo sahihi
 
 
Hilo halitaki tochi,wale wa Kibiti walikuwa wanagonga moja tu na haiachi mtu,.Hapa mawili tu au hawana ujuzi au hawakutaka kuua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mujibu wa kichwa cha habari chako,watu wengi wamekuwa wakiinyoshea dola kama ndo muhusika mkuu,je kwa nguvu iliyonayo dola ukilinganisha utendaji huo wa tukio huoni kana kwamba wanasingiziwa..? na hufikiri uenda ikawa ni mtu/watu binafsi ndio wameamua kufanya hivyo ndio maana wakashindwa kuchagua watu makini..?
 

halafu wakamkosa Lissu makusudi tu, na hawakuwa na lengo la kumuua?
 

Hoja yako ni nini hasa? Kwamba hawa wamepiga zaidi ya 20 bila ya mpangilio? Kwani mpangilio kwa mawazo yako ni upi?

Wa Kibiti walikuwa wakipiga moja moja tu na kuua. Kwa hoja yako basi yupi alikuwa kajifunza vyema matumizi ya silaha? Wa Kibiti au wa Lissu?

NI wazi kuwa kulikuwa hakuna nia ya kumwua mh. Lissu bali kumtia adabu na kumnyamazisha kama wale waliotolewa kucha.

Haiyumkiniki mtoa kucha wa Ulimboka, Mwenye pililipili wa Kubenea, Mtekaji wa Roma Mkatoliki, Mtishaji wa Nape na hawa wa Lissu ni baba mmoja na mama mmoja. Kujaribu kuwatenganisha hao kwa hoja nyepesi nyepesi kama tunazozishuhudia ni kujaribu kutohusianisha Malaria na Mbu -- asema mh. Lema.
 
Hawakuwa makini kwenye kazi yao tu kwanza wasingeifata gari ya TL kwa nyuma wangetumia van wakaibandika sticker za dhl wangemsubiri ashuke kwenye gari lake bang! Wale washkaji walikuwa ni "trigger happy" tu

Hats Mimi nimeshangaa. Professional s lazima kungekua na team mbili tofauti. Ya kufwatilia na ya kumaliza mchezo. Ila hawa walikua so "amateur" kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…