Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
we mkuu moyo wa nyama MUNGU HEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEMungu naye mkono wake ni mrefu pia ana moyo wa nyama so hakupenda walilopenda litokee
Get well hon lissu
Sent using Jamii Forums mobile app
tramadol kwahyo hawa wauaj wamekukera kutumia risas nyingi eh? ulitak washot 1 tu si ndio eh !
Risasi zaidi ya 20 kushindwa kumuua mtu hata angekuwa kwenye kifaru cha jeshi, huo unaitwa MUUJIZA, na hiyo inaweza kuwa ndio turning point ya wazee wa kiki.
Kwangu utakuwa ni muujiza wa pili wa kitaifa baada ya ile ajali ya Mwakyembe...
Umeongea point kabisa.Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
A Novice was given a task of his Senior...
Hizo risasi 5 mwilini ni igizo,,hivi risasi ikiingia mwilini ni sawa na kuumwa kichwa?NI IGIZO HILO HAKUNA ALIYETAKA KUMUUA..
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
sasa ulitaka risasi zoote zilizofyatuliwa zipite kwenye tundu moja tu ndo tujue kuwa mlengaji ni mtaalamu wa kutumia silaha?Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.