Wewe unahusika pia. tunawafahamu wote katika uhalifu huuNimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Mmmmh,, barafu una vimisemo!A Novice was given a task of his Senior...
Namuona tu anavyohangaika,Usijaribu kubdili nyekundu kuwa njano mkuu, watu wana hasira haijapoa
Hiyo ni tekniki mkuu,ili ionekane waliofanya hiyo kitu ni mbumbumbuuNimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Huyu tramadol na Coco wana furaha iliyovuka upeo, Mungu wape maisha marefu wadumu na furaha yao dhidi ya damu za watu wanaotofautiana nao kimtazamo.Wewe bure kabisa ,haya maneno ungeongelea mbele ya haraiki ya watu ungegeuzwa jina!
Hii haitisaidii kumwondoa Magufuli hapaNimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Ukifuatilia tukio zima lilivyo na mazingira yalivyo na aina ya upigaji ulivyo,Unajuaje kama ni watu wenye mafunzo lakini hawakutaka kuua na wala hawakutaka kujulikana kwamba ni watu wenye mafunzo, hivyo wakapiga makusudi kama watu wasio na mafunzo?
Mtu kakaa kwenye gari , utampigaje kwenye tumbo na miguuni na kukosa kichwa kama umetaka kumuua?
Vipi kama hawakutaka kumuua, walitaka kuweka hofu tu?
Kuna mengi tutajiuliza mnoo lakini ukweli, utakuja patikana kwa sababu serikali haitaikubari hili.Halafu kwanini leo siku ambayo ripoti ya tanzanite na almasi inatoka? Wanatakakumchafua Rais? Najiuliza tu.
Kweli vyombo vya ulinzi na usalama wakomae nao mpaka wapatikane.
Aliona mishe yake itakwama. huyu anaweza kuwa suspectau ndio maana tinted ziliruhusiwa eee!!! maana nakumbuka lilitoka tamko la kuzizuia lika kanushwa flan iv!!maana tuna ambiwa gari ilikuwa tinted najiuliza tu ..
Kuna watu walipewa akili za mbwa vichwani mwaoUsijaribu kubdili nyekundu kuwa njano mkuu, watu wana hasira haijapoa
Kwa hiyo utawawajibisha vijana wako kwa kushindwa kufikia lengo?Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Silaha inaonekana kuwa kubwa kwa ukubwa wa matundu..smg siyo rahisi kupiga risasi zikaelekea eneo moja.
..pia uharaka wa waliofanya shambulizi hilo.
..vilevile mtumia bunduki alivyokuwa amekaa. Inasemekana alikuwa ndani ya gari.
.