Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa
Labda walitaka kutuma salaam tu.Habari zenu familia ya JF. Kwa hii idadi ya risasi alizomiminiwa Lisu ni wazi walikuwa wanataka kumua.Saivi watakuwa wanalaumiana sana kwa kukosa shabaha.
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
'Say hello to my little friend'-Tony Montana.A Novice was given a task of his Senior...
wekeni breki kwenye vidole ndugu zangu. ulitambuaje wamekodiwa?Wale ni watu wa kukodisha kutoks nchi za jirani..! Hawajui mazingira vyema ya nchi na reaction ya watanzania walipiga risasi kiuoga sana..!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyongo zinamwagikawekeni breki kwenye vidole ndugu zangu. ulitambuaje wamekodiwa?
marekani pana faa mkuu. south africa ni walewale. Nairobi walau ni kwa mpinzani wa jamaa pia.Ningepewa nafasi kushauri ningeshauri Tundu Lissu asipelekwe Nairobi. South Africa pangefaa.
lete mpya ili hizi ziiisheDah mkuu nyuzi zinatosha sasa
Mkuu kutuma salamu risasi zote zile,pale Mungu tu ndo katenda miujizaLabda walitaka kutuma salaam tu.
Why?Ningepewa nafasi kushauri ningeshauri Tundu Lissu asipelekwe Nairobi. South Africa pangefaa.
Wale ni watu wa kukodisha kutoks nchi za jirani..! Hawajui mazingira vyema ya nchi na reaction ya watanzania walipiga risasi kiuoga sana..!
Sent using Jamii Forums mobile app