Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Hivi una maana kuwa gari la washambuliaji halikuwa na vioo vya tinted pia?
 
Habari zenu familia ya JF. Kwa hii idadi ya risasi alizomiminiwa Lisu ni wazi walikuwa wanataka kumua.Saivi watakuwa wanalaumiana sana kwa kukosa shabaha.
 
Wale ni watu wa kukodisha kutoks nchi za jirani..! Hawajui mazingira vyema ya nchi na reaction ya watanzania walipiga risasi kiuoga sana..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fikiria nje ya boksi kijana.

Unafikiri walikosa walikosa shabaha? au walikosa silaha nyingine ndo wakatumia SMG? (as it is said)

Unafikiri walikosea kumlenga au walipiga random ili kuwapoteza watu kama wewe labda?
Sio wajinga kiasi hiko. yaani ukose kutoka kwenye kioo hadi tairi? au chini ya mlango? haingii sana kwenye hii medula.

Anyway; Bado tunaendlea kusubiria repoti ya waheshimiwa juu ya Ben Saanane, Miili 8 iliokutwa Ruvu, Miili 10+ baharini, Aliemtishia Nape, Waliovamia ile studio na ofcourse hii ya Lisu.

Najiuliza tu, Hivi Chama na Serilkali ilitoa salamu au kukemea majanga yaliotokea karibuni?
1. Ajali Arusha, Miili iliookotwa Baharini na Mto Ruvu?, Watoto waliouwawa Arusha, Shambulio la Clouds, Kupotea kwa Saanane?

Ila angalao kwa hili la jana, inaonekana wanampenda sana, walao wamekua wa kwanza kutoa salamu za pole na kumuombea.

Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
 
Ningepewa nafasi kushauri ningeshauri Tundu Lissu asipelekwe Nairobi. South Africa pangefaa.
 
Hivi haiwezekani ikawa ni mbinu ya weupe kudivert attention toka kwenye ripoti au kutuchonganisha na serikali maana CIA walishatumia mbinu kama hizo hata Iran...
 
Back
Top Bottom