Fikiria nje ya boksi kijana.
Unafikiri walikosa walikosa shabaha? au walikosa silaha nyingine ndo wakatumia SMG? (as it is said)
Unafikiri walikosea kumlenga au walipiga random ili kuwapoteza watu kama wewe labda?
Sio wajinga kiasi hiko. yaani ukose kutoka kwenye kioo hadi tairi? au chini ya mlango? haingii sana kwenye hii medula.
Anyway; Bado tunaendlea kusubiria repoti ya waheshimiwa juu ya Ben Saanane, Miili 8 iliokutwa Ruvu, Miili 10+ baharini, Aliemtishia Nape, Waliovamia ile studio na ofcourse hii ya Lisu.
Najiuliza tu, Hivi Chama na Serilkali ilitoa salamu au kukemea majanga yaliotokea karibuni?
1. Ajali Arusha, Miili iliookotwa Baharini na Mto Ruvu?, Watoto waliouwawa Arusha, Shambulio la Clouds, Kupotea kwa Saanane?
Ila angalao kwa hili la jana, inaonekana wanampenda sana, walao wamekua wa kwanza kutoa salamu za pole na kumuombea.