Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Kwa hiyo huyu jamaa alitaka wamlenge wamuue, Mungu alikuwa hajataka. Hao watu mpaka kuwa na silaha tu tayari ni watu hatari. Tena hiyo random shooting ndiobaya sana wangeweza kufanya madhara makubwa zaidi hata kumjeruhi ama kumuua na dereva,japo tunashukuru dereva hajaguswa na risasi hata moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Mh Lissu alikuwa anaendesha Gari mwenyewe? Kama alikuwa na Dereva je dereva yupo salama? Na kama kaumia mbona hatumpi pole? Kama hajaumia ilikuwaje akatoka salama kwenye hali ile? Kuna jambo chini ya Carpet

Sent using Jamii Forums mobile app
2pac Shakur aliposhambuliwa kwa risasi nyingi na kuuwawa Suge Knight ndio alikuwa anaendesha ile BMW mbona hakuna risasi iliyompata? Unafikiri kwa kutumia kijambio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.

Hebu tuambie wewe hii ulijuaje, ilihali press release ya Lissu hakusema anatishiwa kuuawa alitaja tu kufuatilia na aina ya gari?

Lissu kama ana uhakika si angefungua kesi ya kutishiwa kuuwawa..

Kiki zingine watu huzipuuza tu.
 
Watakuwa ni wale wa dokta ulimboka ila lissu anakubalika sana taifa linetulia baada ya tukio la kihalifu janaa zetu wana cha kujifunza toka kwa lissu kwa anachoongeaga kina ukweli na huwezi kushindana na ukweli hata siku moja kuna kada wa ccm jana kindaki ndaki jana kagoma kula anataka lissu asikie yupo anasema kama angitokea tofaut yupo tayar kwa lolote
 
Pamoja na kulaani vikali sana kilichotokea kwa Rais wa Chama cha wanasheria na mbunge ndugu tundu lissu,tukio lenyewe nalo limeniacha na maswali kadhaa juu ya umahili wa wahusika wa waliotumwa kufanya kazi Ile chafu.

Katika close range ya namna Ile ambayo ni almost point blank aliyehusika kushambulia akiwa na siraha kubwa kabisa smg na akiwa amefyatua risasi Kati ya ishirini na therathini alifanikiwa kupiga target kwa risasi tano tu Tena ktk sehemu ambazo hazina madhara ya haraka yaani miguuni,mkononi na tumboni,risasi zilizobaki zimekosa target

Hii inanipa picha mbili ya kwanza either aliyepewa kazi Ile ni mbabaishaji tu ambaye sio professional wa kaz hiyo au uenda hawa jamaa walitumwa kujeruhi tu na kutoa kitisho kikuu kwa mlengwa ili hata akipona awe mpole.

Assumption ya pili naipata kwasababu ya kushindwa kuamini kama mtu aliyeaminiwa kufanya kaz nyet vile aliweza kufanya makosa kama yale.

Otherwise Kuna uwezekano mkubwa kwamba mungu aliingilia Kati na kumnusuru kiumbe wake katika bonde LA kiza cha umauti.

Matukio kama haya ya ambush yamewah kuwakuta kina profesa mwaikusa na sengondo mvungi,wakati huo waliotumwa ktk kazi hizo hawakufanya makosa.

Pamoja na yote vitendo hivi vyenye asili ya tabia za kagame vinapaswa kulaaniwa vikali sana.
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
wewe umetumwa wewe si bure,
 
Hivi Mh Lissu alikuwa anaendesha Gari mwenyewe? Kama alikuwa na Dereva je dereva yupo salama? Na kama kaumia mbona hatumpi pole? Kama hajaumia ilikuwaje akatoka salama kwenye hali ile? Kuna jambo chini ya Carpet.Alikuwa na dereva na ndiye aliyemshauri asishuke baada ya kugundua wanafuatiliwa na wapiga risasi. Walipoona gari limesimama muda na watu hawashuki wakaamua kupiga risasi hivohivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majuzi mmemshambulia na kumuuwa mwanaharakati wa wanyama pori mchana kweupe..

Ofisi za IMMA Advocates imeshambuliwa kwa Bomu mnaloita la Kienyeji...

Sasa mashambulizi ya Lissu jana habari ni ile ile Watu wasio julikana ....

Tunaviomba vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha hao watu wasiojulikana wanatiwa mbaroni kusaidia upepelezi wa matukio haya yote ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakuwa ni wale wa dokta ulimboka ila lissu anakubalika sana taifa linetulia baada ya tukio la kihalifu janaa zetu wana cha kujifunza toka kwa lissu kwa anachoongeaga kina ukweli na huwezi kushindana na ukweli hata siku moja kuna kada wa ccm jana kindaki ndaki jana kagoma kula anataka lissu asikie yupo anasema kama angitokea tofaut yupo tayar kwa lolote

Kweli Lissu anakubalika kupita maelezo
Jana TZ nzima ilitulia, hadi mahabari yao mengine yamesahulika
 
Mungu hakutaka mpango huo ufanikiwe,namwombea apone tuwe naye pamoja

kwa matukio ya kimataifa kama alivyopigwa Rais Kennedy wa marekan ilipigwa risasi na Sniper na baadaye watu walishuhudia njiwa wakipepeluka kutoka katika jengo lililokuwa mbali na tukio na huku wakiona Rais anakohoa kumbe kuna risasi ilimpiga shingoni.
 
Kwa jinsi nilivyo lisoma andiko lako, umeniumiza moyo saana. Ina maana unasema, kwa sababu hakufa, hawakuwa na mafunzo mazuri ya kuua?? Ina maana kuwa hukufurahi kuwa TL kapona?? Hebu weka uchafu wako huu mbali na watu wenye mapenzi mema tafadhali
 
Hiki kiumbe Jana hakikuepo ktk makabidhiano ya ripoti ya almasi.....na mkulu pia Jana kma hakuwa na amani hivi...alijua mtu atauwawa....
Ila tumuache Mungu aitwe Mungu

Mungu ni mwema tena sana
Maovu yao yote yanawekwa kweupe
 
Back
Top Bottom