Kodolsassi
Member
- Mar 16, 2017
- 7
- 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2pac Shakur aliposhambuliwa kwa risasi nyingi na kuuwawa Suge Knight ndio alikuwa anaendesha ile BMW mbona hakuna risasi iliyompata? Unafikiri kwa kutumia kijambio?Hivi Mh Lissu alikuwa anaendesha Gari mwenyewe? Kama alikuwa na Dereva je dereva yupo salama? Na kama kaumia mbona hatumpi pole? Kama hajaumia ilikuwaje akatoka salama kwenye hali ile? Kuna jambo chini ya Carpet
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Lissu kama ana uhakika si angefungua kesi ya kutishiwa kuuwawa..
Kiki zingine watu huzipuuza tu.
wewe umetumwa wewe si bure,Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Hivi Mh Lissu alikuwa anaendesha Gari mwenyewe? Kama alikuwa na Dereva je dereva yupo salama? Na kama kaumia mbona hatumpi pole? Kama hajaumia ilikuwaje akatoka salama kwenye hali ile? Kuna jambo chini ya Carpet.Alikuwa na dereva na ndiye aliyemshauri asishuke baada ya kugundua wanafuatiliwa na wapiga risasi. Walipoona gari limesimama muda na watu hawashuki wakaamua kupiga risasi hivohivo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mie Najichekea tu
taharuki kila kona
kila mtu anaandika lake!!
Ngoja tuone
Watakuwa ni wale wa dokta ulimboka ila lissu anakubalika sana taifa linetulia baada ya tukio la kihalifu janaa zetu wana cha kujifunza toka kwa lissu kwa anachoongeaga kina ukweli na huwezi kushindana na ukweli hata siku moja kuna kada wa ccm jana kindaki ndaki jana kagoma kula anataka lissu asikie yupo anasema kama angitokea tofaut yupo tayar kwa lolote
Aisee !!! Kumbe? Sasa kama una ushahidi wa kina ivi kwanini mkuu unaendelea kujificha nyuma ya keyboard na jina hewa badala ya kujitokeza kulisaidia Taifa?Hii ni vita ya madaraka ndani ya chadema
Lisu amekuwa tishio kwa nafasi ya Lowasa kugombea urais 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kiumbe Jana hakikuepo ktk makabidhiano ya ripoti ya almasi.....na mkulu pia Jana kma hakuwa na amani hivi...alijua mtu atauwawa....
Ila tumuache Mungu aitwe Mungu