Lkn matusi yamepungua. Mlituogesha mitusi ya haja sanaYani kabisaaa wewe ndiyo baba mwenye familia yake kabisa yanii tena una watoto wapo chuo ukawaza kabisa kabisa uandike ulichoandika,
HakikaTano ni nyingi.
Naunga mkono hoja 👍👏Dah! Ila Mashabiki wengi wa hiyo timu wana midomo michafu mpaka basi. Ni wachache pekee ndiyo waungwana.
SahihiKwakweli amani ni kubwa sana kuipoteza. Kipigo kikubwa kinapaswa kuwa endelevu kulinda hii amani.
Shangaa na weweHalafu na wewe ukakoment kabisa.
HeeeHuu mtaa hakuna wanaume kweli, kwanini wasivunje hilo bango.
Yani utulivu uneongezekaHata mitaani keiele zimeisha ni mtindo wa kimya kimya wengine wanajifanya kufuatilia mipira ya nje na kukejeli ya nyumbani kwake.
Jf Inawezekana kuna wengine wamebadilisha Id na kuja kivingine.
Hata semaji lao Ni mjinga Sana mpayukajiDah! Ila Mashabiki wengi wa hiyo timu wana midomo michafu mpaka basi. Ni wachache pekee ndiyo waungwana.
KabisaSaivi vijiwe vya kahawa na mabanda umiza hayana vujo kabisa
AtabadilikaHata semaji lao Ni mjinga Sana mpayukaji
Mwakarobo mfululizoTimu kubwa kwenye nini?
Hata humu jukwaani wamekuwa wapole sanaUnaweza ukawa umepost kama utani ila kiukweli mtaani amani ipo hakuna matusi kabisa.vijiwe vya kahawa watu wamekuwa wastaarabu.
Ila mashabiki wa simba wanatia huruma mitaani
Hakuna jipya hapo,hamjarudisha hata kile kipigo chetu cha tano bila,ule ndio ulikuwa ni wakati mwafaka ,na haitajirudia kamweWalau matusi yamepungua mjini
Viwango vya CAF,sio vya lile shirika lenu la mchongoTimu kubwa kwenye nini?
Tano bila kwa yale magoli yenu matatu ya penalty?Hakuna jipya hapo,hamjarudisha hata kile kipigo chetu cha tano bila,ule ndio ulikuwa ni wakati mwafaka ,na haitajirudia kamwe
Nakumbuka kuna timu kombe la dunia walifunga Argentina, kwao walifanya mapumziko.Tangu Simba achapike bila huruma mnamo tarehe 5 November 2023, kumekuwa na kuheshiniana miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Yale matusi yasiyo na sababu pamoja na posts za kukebehiana vimepungua sana.
Nadhani hali hii inapaswa kuendelea na kuzoeleka. Ni kitu kizuri sana