Matusi na kejeli mitandaoni vimepungua tangu tarehe 5 Novemba

Matusi na kejeli mitandaoni vimepungua tangu tarehe 5 Novemba

Yani kabisaaa wewe ndiyo baba mwenye familia yake kabisa yanii tena una watoto wapo chuo ukawaza kabisa kabisa uandike ulichoandika,
Lkn matusi yamepungua. Mlituogesha mitusi ya haja sana
 
Tangu Simba achapike bila huruma mnamo tarehe 5 November 2023, kumekuwa na kuheshiniana miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Yale matusi yasiyo na sababu pamoja na posts za kukebehiana vimepungua sana.

Nadhani hali hii inapaswa kuendelea na kuzoeleka. Ni kitu kizuri sana
Nakumbuka kuna timu kombe la dunia walifunga Argentina, kwao walifanya mapumziko.
Km Yanga wameandaa mabango ya 5-1, timu changa kisoka hufanya hivyo km Yanga
Kama umeifunga Simba, Siku Yanga akiifunga Al Ahly mtafanya documentary na itakuwa mapumziko siku hiyo.
 
Back
Top Bottom