YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
- Thread starter
- #21
Hata mijini mi zebra crossing mingi mno inasababisha msongamano ya magari na kucheweshana bureIla wenzetu watembea kwa mguu wana heshimu sana vivuko na vivuko vyao vingi ni underground
Tehran tu hapo vivuko vingi ni vya chini
Ova
Ziwekwe undwerground pass mfano maeneo yenye masoko,shule au vyuo ,vituo vya mabasi na sehemu za wavukaji wengi ili barabara zibaki kwa magari tu
Zikijengwa flyover zikawekwa na underground pass folen za magari mijini zaweza kuwa historia