Anaweka mdomo na kubana sauti kama Konkiyuko vzr ila ule uwekaji wa mdomo huwa unanikera. ila kwangu ringo n joti huwa nawaelewa
Joti na brother K hata mimi nakuunga mkonoSijaona cha kuchekesha hapo, binafsi mtu pekee anaeweza kuweka tabasamu langu usoni kwa sasa ni:
1. Joti
2. Sumaku
3. Brother K
Wengine wote waliobaki michosho tu, waende shule za msingi ndio kuna wa kuchekea wanayoyafanya!
Ama kweli waigizaji wa Tanzania na washabiki wake mnaelewa wenyewe kwa wenyewe. Hapa ndiyo akili zako imeona kipaji cha Hollywood? Kaaaazi kweli kweli.Jamaa kiwango chake cha uchekeshaji anatakiwa apate makataba ata Hollywood.
Bongo apamfai uwezo wake nikama Chris Tucker .
Vipaji vipo Ila watu awataki kuwekeza Kwa uyu dogo . Tazama iki kipande
Sijaona cha kuchekesha hapo, binafsi mtu pekee anaeweza kuweka tabasamu langu usoni kwa sasa ni:
1. Joti
2. Sumaku
3. Brother K
Wengine wote waliobaki michosho tu, waende shule za msingi ndio kuna wa kuchekea wanayoyafanya!
Joti na brother K ndo bestMimi hapo Joti tu, brother K kwangu wala hana maajabu nampenda na yule dada kiziwi
Wenye ngozi nyeusi wapo wengi mno. Qality ndiyo inaamua. Watu wenye akili zao hawawezi kuvutiwa na vichekesho vya kijinga kama hivyo.Ko Hollywood ngozi nyeusi atuwezi
πππSawa Maufundi naona unajipigia debe