Mau fundi ni mchekeshaji Bora kuliko wote tz

kapuku94

Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
66
Reaction score
69
Jamaa kiwango chake cha uchekeshaji anatakiwa apate makataba ata Hollywood.
Bongo apamfai uwezo wake nikama Chris Tucker .
Vipaji vipo Ila watu awataki kuwekeza Kwa uyu dogo . Tazama iki kipande
 
Sijaona cha kuchekesha hapo, binafsi mtu pekee anaeweza kuweka tabasamu langu usoni kwa sasa ni:
1. Joti
2. Sumaku
3. Brother K

Wengine wote waliobaki michosho tu, waende shule za msingi ndio kuna wa kuchekea wanayoyafanya!
 
Ama kweli waigizaji wa Tanzania na washabiki wake mnaelewa wenyewe kwa wenyewe. Hapa ndiyo akili zako imeona kipaji cha Hollywood? Kaaaazi kweli kweli.
 
Mimi hapo Joti tu, brother K kwangu wala hana maajabu nampenda na yule dada kiziwi
Sijaona cha kuchekesha hapo, binafsi mtu pekee anaeweza kuweka tabasamu langu usoni kwa sasa ni:
1. Joti
2. Sumaku
3. Brother K

Wengine wote waliobaki michosho tu, waende shule za msingi ndio kuna wa kuchekea wanayoyafanya!
 
Bongo maigizo bado sana kuanzia dialogue mpaka uigizaji wenyewe hauko vizuri kabisa yani
 
Bado thijaona, thatha amecheketha kicheketho kipi?
 
Back
Top Bottom