Maua Sama atachanganyikiwa sana kwa jambo hili

Maua Sama atachanganyikiwa sana kwa jambo hili

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Niseme tu ukweli, huyu msichana uwezo wake wa kuimba ni wa kawaida sana japo kuna baadhi ya watu wachache wanampa sifa asizistahili.

Na ashukuru Mungu hii ngoma ya iokote imempa ulaji kwa kiasi fulani lakini hatoweza kudumu sokoni kwa muda mrefu na atapata msongo wa mawazo sana na iokote yake ,kwanza imeshaanza kuchuja.

Ninatabiri hatofika mbali kimuziki, huu ni upepo wa muda mchache.


mauasama-20181025-0001.jpeg
 
Kuwa namba moja ni rahisi sana, kuliko kumantain kuwa namba moja siku zote. Ili MAUA awe juu kimuziki lazima ajitume, awe creative na nidhamu ya hali ya juu ktk kazi zake, akifanya hivi atakuwa juu kwa mda mrefu, hamna linaloshindikana chini ya jua.
 
hahaa eti maua sama anauwezo wa kawaida duuh", una roho mbaya sana"... sasa kwa shilole Napo utasemaje !!?


lady jayde
mwasiti
vanesa
ruby
maua sama ",
Ray c

hao ni born talented..s bab
 
Weeeeeee hujui muziki nadhani umesikiliza bongo fleva kuanzia diamond huyo sister kitambo yupo na anajuwa anafanya nini ashatoa nyimbo nyingi na nzuri sema hii imepata kik kutokana kukaa selo na soudy brown
 
Pole sana, nimeanza kumjua huyo maua tangu yupo tht.@Sonia G,
 
Back
Top Bottom