Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Umeona bandiko lako linavyojichanganya?Mwanaume wa Dar wa kwanza ambae hajui mziki ni wewe hapo,huyu dada yuko vizuri sana ila ana kasoro chache kwenye utunzi wa mashairi!
Hata ungemjua tangu tumboni mwa mama yake, lakini andishi lako linaonesha unasukumwa na wivu, tena wivu wa kijinsia.!Pole sana, nimeanza kumjua huyo maua tangu yupo tht.
Hakuna mwanamziki ambae ni perfect kwenye sanaa hiyo,lazima kuwe na mapungufu machache ya hapa na pale ila hilo haliwezi kumuondoa sokoni!Umeona bandiko lako linavyojichanganya?