Maua sama nyota ing'aayo kwenye giza nene

Hana sura mbaya kihivyo mbona yupo poa tuu, utakua na makengeza

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Nmemuacha ushirika akiwa anajiunga shahada kutoka diploma, yupo charming ni mzuri mbona , enzi hzo alikuwa na chunusi nyngi sana na spot usoni sijamwona kama miaka 4 hivi ila inshort she s cute
I know her personally na nimemaliza nae chuo...she is cute..chunusi ziliishaga mda sana..I guess mwaka wa kwanza au wa pili.
 
Sijawah kupenda video zake Audio zake ninazo hadi za voice call.
I like that girl from my bottom heart.
 
aiseeee
 
Aliimba "Sisikii" mpaka nikajisikia kama ananiimbia mimi vile.

Na hivyo ndivyo muimbaji anavyotakiwa kuimba.
 
Sura na kipaji wapi na wapi? Mbona unaharibu mada.

Kama kipaji anacho,jambo la msingi ni kuunga mkono kazi zake tu. Sura kila mtu kaumbwa kama alivyo kwa mapenzi ya Mungu. ...... Hata hivyo binadamu mzuri na mbaya wa sura ni fikra zetu tu.....kila mmoja ni mzuri
 
Kutokana na imani ya dini yang Hakuna mbaya wala mwenye sura mbaya kwa sababu naamini binadamu wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu hakuna aliye jiumba wala hakuna alie jileta duniani nitabia chafu na kukosa utu na malezi uliokulia mleta uzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…