Mimi sipiganag na vitoto kama nyie ningekuzabua makofi ya puan ma mdomon had ushike adabu yakoUlivyosema ana Sura mbaya nimetokwa mchozi! Ubaya wa sura yake ni upi mkuu? Au kwa vile ni mweusi? Ungekua karibu yangu tungepigana vibaya...
Anazingua...uyo ye mzr mpka aite mwenzie mbaya?;Kwani msanii lazima uwe na sura mzuri? Mimi naona sura ya msanii ni lyrical contents zake yaani mashairi na mpangilio,melody na ujanja katika mziki.Hio nsio sura yake.Wewe kama una angalia sura nzuri ya msanii pole sana kwa huo Utu wako.Na kwa taarifa yako,Maua Sama hana sura mbaya,labda kama hujui definition ya sura mbaya.
Si ndio hapo sasa.....Anazingua...uyo ye mzr mpka aite mwenzie mbaya?;
Maua
Ruby
Nand
Sama ana maziwa madogo mpk nilimpgia puli siku ya fiesta Arusha dadekiii...
Mkuu naomba uedit huu uzi wako,umeanza vzr ila umeharibu hapo eti ana sura mbaya sana,acha kukosoa uumbaji wa Mungu mkuuAman iwe nayi wapendwa katika bwana husika na kichwa cha habari hapo juu
Mziki wa sasa umekuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa wadada maana hukumbana na vikwazo vingi sana either kutoka kwenye familia anayotoka au kutoka kwa wadau mbali mbali wa mziki
Maua sama ni msichana mpole na mchangamufu sana ni msanii ambaye anasimamiwa na mwanake kama meneger
Huyu dada anasura mbaya sana kusema ukweli lakina ana mziki mzuri sana ambao ukiusikia lazima ukuvute ni mdada ninaye mpenda sana kimwili na kiroho
Kafanikiwa sasa anasikika hadi nje ya mipaka ya tanzania nimbunifu sana kwenye mziki na ana ngoma kibao ambazo katoa na zote ni kuntu namtabiria kufika kimataifa
Zaman nilikiuwaga NANYUPU
LONDON BABY
Una cheo gan kule chaputa
Si sikii ni bonge la wimbo.Aliimba "Sisikii" mpaka nikajisikia kama ananiimbia mimi vile.
Na hivyo ndivyo muimbaji anavyotakiwa kuimba.
Face is the money maker.Sura na kipaji wapi na wapi? Mbona unaharibu mada.
Kama kipaji anacho,jambo la msingi ni kuunga mkono kazi zake tu. Sura kila mtu kaumbwa kama alivyo kwa mapenzi ya Mungu. ...... Hata hivyo binadamu mzuri na mbaya wa sura ni fikra zetu tu.....kila mmoja ni mzuri
Ingetosha kama ungesema muonekano wake ni wakawaida kilikoni kutumia lugha mbaya na yenye maudhi....Huyu dada anasura mbaya sana kusema ukweli lakina ana mziki mzuri sana ambao