Maua sama nyota ing'aayo kwenye giza nene

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nayi wapendwa katika bwana husika na kichwa cha habari hapo juu

Mziki wa sasa umekuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa wadada maana hukumbana na vikwazo vingi sana either kutoka kwenye familia anayotoka au kutoka kwa wadau mbali mbali wa mziki

Maua sama ni msichana mpole na mchangamufu sana ni msanii ambaye anasimamiwa na mwanake kama meneger

Huyu dada anasura mbaya sana kusema ukweli lakina ana mziki mzuri sana ambao ukiusikia lazima ukuvute ni mdada ninaye mpenda sana kimwili na kiroho

Kafanikiwa sasa anasikika hadi nje ya mipaka ya tanzania nimbunifu sana kwenye mziki na ana ngoma kibao ambazo katoa na zote ni kuntu namtabiria kufika kimataifa

Zaman nilikiuwaga NANYUPU

LONDON BABY
 
CckviKkW8AQ1dva.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nayi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Mziki wa sasa umekuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa wadada maana hukumbana na vikwazo vingi sana either kutoka kwenye familia anayotoka au kutoka kwa wadau mbali mbali wa mziki

Maua sama ni msichana mpole na mchangamufu sana

Ni msanii ambaye anasimamiwa na mwanake kama meneger

Huyu dada anasura mbaya sana kusema ukweli lakina ana mziki mzur sana ambao ukiusikia lazima ukuvute

Ni mdada ninaye mpenda sana kimwili na kiroho

Kafanikiwa sasa anasikika had nje ya mipaka ya tanzania

Ni mbunifu sana kwenye mziki na ana ngoma kibao ambazo katoa na zote ni kuntu

Namtabiria kufika kimataifa

Zaman nilikiuwaga NANYUPU

LONDON BABY
Kwa hiyo umetumbuliwa na mods?
 
Aman iwe nayi wapendwa katika bwana husika na kichwa cha habari hapo juu

Mziki wa sasa umekuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa wadada maana hukumbana na vikwazo vingi sana either kutoka kwenye familia anayotoka au kutoka kwa wadau mbali mbali wa mziki

Maua sama ni msichana mpole na mchangamufu sana ni msanii ambaye anasimamiwa na mwanake kama meneger

Huyu dada anasura mbaya sana kusema ukweli lakina ana mziki mzuri sana ambao ukiusikia lazima ukuvute ni mdada ninaye mpenda sana kimwili na kiroho

Kafanikiwa sasa anasikika hadi nje ya mipaka ya tanzania nimbunifu sana kwenye mziki na ana ngoma kibao ambazo katoa na zote ni kuntu namtabiria kufika kimataifa

Zaman nilikiuwaga NANYUPU

LONDON BABY
Ni kweli sura hana ila siku hizi naona anazidi kupendeza kiasi tofauti na mwanzoni.

She has slim body easy to carry, I like her too.

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Aman iwe nayi wapendwa katika bwana husika na kichwa cha habari hapo juu

Mziki wa sasa umekuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa wadada maana hukumbana na vikwazo vingi sana either kutoka kwenye familia anayotoka au kutoka kwa wadau mbali mbali wa mziki

Maua sama ni msichana mpole na mchangamufu sana ni msanii ambaye anasimamiwa na mwanake kama meneger

Huyu dada anasura mbaya sana kusema ukweli lakina ana mziki mzuri sana ambao ukiusikia lazima ukuvute ni mdada ninaye mpenda sana kimwili na kiroho

Kafanikiwa sasa anasikika hadi nje ya mipaka ya tanzania nimbunifu sana kwenye mziki na ana ngoma kibao ambazo katoa na zote ni kuntu namtabiria kufika kimataifa

Zaman nilikiuwaga NANYUPU

LONDON BABY

Haya msalimie Rehema.
 
Andiko lako lisingegusia sura lingekosa maana???
Mungu alivyo wa ajabu hao wanawake ambao ni wazuri katika macho ya wengi (hata macho yangu pia) asilimia kubwa hawana la maana mjini wanaamini muonekano kuliko walichonacho ndani wanaishia kuliwa tu.
 
Back
Top Bottom