Mauaji holela watuhumiwa wakiwa ni Polisi, tusisitize Uchunguzi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kwenye sakata la mauaji ya watuhumiwa polisi ni watuhumiwa.

Ufumbuzi pekee hapo ni uchunguzi. Si wao kuandaa maandamano uchwara ya kuungwa mkono kwa mauaji yao ya kijambazi.

Tunaweza kuyakataa haya yasiwepo:

IMG_20220928_193111_561.jpg

Kama Mtwara, Tarime na kwingine kuhitaji uchunguzi huru wenye kuja kufanyiwa kazi ni haki yetu.

Ninakazia: Police brutality sambamba na extra judicial killings havikubaliki.
 
Hili swala litaiondolea chadema umaarufu ujambazi uatesa watu kazanieni tozo ila sio ujambazi.
 
To be Frank hili la kuandaa maandamano Police wameonyesha usanii mkubwa mno. Naona sasa Wasiojulikana wanarudi kwa kasi/speed ya Mwanga. Our hopes have been lost/ faded....
 
Tuache polisi wafanye kazi zao. Usalama wa mali na raia ni muhimu mno. Mhe. Rais anavutia wawekezaji hivyo lazima kuwe na usalama wa kutosha wa mali na raia. #Anayedhani kaonewa afungue kesi. Ndio utawala wa sheria. 🙏🙏🙏
 
Wapi unapoona tunasema wasifanye kazi zao? Ni mapendekezo yako kuwa wafanye kazi bila kuzingatia sheria?
 
Sauti za kuwasemea wanyonge (voices of the voiceless people) zimezibwa na fupa la kuku walilopewa na mama.

1. Waandishi .....kimya
2. Wanasiasa except (chadema)....kimyaa.
3. Wanaharakati except Maria Sarungi. Kimyaaa
 
Tuliopo tunatosha sana:

IMG_20220927_190940_421.jpg

Mauaji holela ya polisi hayakubaliki.
 
Lile tukio la Mtwara lilinifanya nione safari bado ndefu sana, kwasababu licha ya Rais kusema polisi hawawezi kujichunguza, lakini bado naona limetawaliwa na ukimya.

Hii maana yake hata hao wachunguzi waliotafutwa nao waliishia mifukoni mwa polisi, ajabu na Rais nae yupo kimya wala haulizii chochote juu ya majibu ya ile ripoti, hapa ndipo udhaifu wa Rais unapothibitika.
 
Lile tukio la Mtwara lilinufanya nione safari bado ndefu sana, kwasababu licha ya Rais kusema polisi hawawezi kujichunguza, lakini bado naona limetawaliwa na ukimya.

Hii maana yake hata hao wachunguzi waliotafutwa nao waliishia mifukoni mwa polisi, ajabu na Rais nae yupo kimya wala haulizii chochote juu ya majibu ya ile ripoti, hapa ndipo udhaifu wa Rais unapothibitika.

Walamba asali wanashikiliwa madarakani na mbeleko ya tanpol. Lao wote ni moja.

"Wote maji ga nyanja" -- JKN.

Kutegemea kuwa wanaweza kugeukana na kuchukuliana hatua itakuwa ni kusubiria dodo kwenye mnazi.

Kusuka au kunyoa yapo mikononi mwetu. Uwezo wa kuwalazimisha kufanya tunayotaka sisi tunao.
 
Hili swala litaiondolea chadema umaarufu ujambazi uatesa watu kazanieni tozo ila sio ujambazi.
Mpaka mamako atakapokamatwa na kuambiwa umlaut ndipo utapatwa na akili. Hakuna cha kufanya bila kupambana na majambazi asili yaani polisi
 
Tuache polisi wafanye kazi zao. Usalama wa mali na raia ni muhimu mno. Mhe. Rais anavutia wawekezaji hivyo lazima kuwe na usalama wa kutosha wa mali na raia. #Anayedhani kaonewa afungue kesi. Ndio utawala wa sheria. 🙏🙏🙏
Kwahiyo kufanya kazi yao kwa kuua raia?!

Hivi nyie watu mna matatizo gani?!
 
Tuache polisi wafanye kazi zao. Usalama wa mali na raia ni muhimu mno. Mhe. Rais anavutia wawekezaji hivyo lazima kuwe na usalama wa kutosha wa mali na raia. #Anayedhani kaonewa afungue kesi. Ndio utawala wa sheria. [emoji120][emoji120][emoji120]
Huo Utawala wa sheria unaoujua wewe ndo unaowahalalisha polisi kuua watu kwa tuhuma pekee? Ukiwauliza walipata wapi? Taarifa za kiintelijensia!!
 
Walamba asali wanashikiliwa madarakani na mbeleko ya tanpol. Lao wote ni moja.

"Wote maji ga nyanja" -- JKN.

Kutegemea kuwa wanaweza kugeukana na kuchukuliana hatua itakuwa ni kusubiria dodo kwenye mnazi.

Kusuka au kunyoa yapo mikononi mwetu. Uwezo wa kuwalazimisha kufanya tunayotaka sisi tunao.
True
 
Lile tukio la Mtwara lilinifanya nione safari bado ndefu sana, kwasababu licha ya Rais kusema polisi hawawezi kujichunguza, lakini bado naona limetawaliwa na ukimya.

Hii maana yake hata hao wachunguzi waliotafutwa nao waliishia mifukoni mwa polisi, ajabu na Rais nae yupo kimya wala haulizii chochote juu ya majibu ya ile ripoti, hapa ndipo udhaifu wa Rais unapothibitika.
Uongozi dhaifuuuuu
 
Tuache polisi wafanye kazi zao. Usalama wa mali na raia ni muhimu mno. Mhe. Rais anavutia wawekezaji hivyo lazima kuwe na usalama wa kutosha wa mali na raia. #Anayedhani kaonewa afungue kesi. Ndio utawala wa sheria. 🙏🙏🙏
kwan we jamaa akili zako ndo hizi au ni mtoto wako kaposti??Kama umri huo ni wa hovyo hivo ukizeeka sijui inakuaje
 
Back
Top Bottom