Hili swala litaiondolea chadema umaarufu ujambazi uatesa watu kazanieni tozo ila sio ujambazi.
Tuache polisi wafanye kazi zao. Usalama wa mali na raia ni muhimu mno. Mhe. Rais anavutia wawekezaji hivyo lazima kuwe na usalama wa kutosha wa mali na raia. #Anayedhani kaonewa afungue kesi. Ndio utawala wa sheria. πππ
Sauti za kuwasemea wanyonge (voices of the voiceless people) zimezibwa na fupa la kuku walilopewa na mama.
1. Waandishi .....kimya
2. Wanasiasa except (chadema)....kimyaa.
3. Wanaharakati except Maria Sarungi. Kimyaaa
Lile tukio la Mtwara lilinufanya nione safari bado ndefu sana, kwasababu licha ya Rais kusema polisi hawawezi kujichunguza, lakini bado naona limetawaliwa na ukimya.
Hii maana yake hata hao wachunguzi waliotafutwa nao waliishia mifukoni mwa polisi, ajabu na Rais nae yupo kimya wala haulizii chochote juu ya majibu ya ile ripoti, hapa ndipo udhaifu wa Rais unapothibitika.
Mpaka mamako atakapokamatwa na kuambiwa umlaut ndipo utapatwa na akili. Hakuna cha kufanya bila kupambana na majambazi asili yaani polisiHili swala litaiondolea chadema umaarufu ujambazi uatesa watu kazanieni tozo ila sio ujambazi.
Kwahiyo kufanya kazi yao kwa kuua raia?!Tuache polisi wafanye kazi zao. Usalama wa mali na raia ni muhimu mno. Mhe. Rais anavutia wawekezaji hivyo lazima kuwe na usalama wa kutosha wa mali na raia. #Anayedhani kaonewa afungue kesi. Ndio utawala wa sheria. πππ
Kwahiyo kufanya kazi yao kwa kuua raia?!
Hivi nyie watu mna matatizo gani?!
Huo Utawala wa sheria unaoujua wewe ndo unaowahalalisha polisi kuua watu kwa tuhuma pekee? Ukiwauliza walipata wapi? Taarifa za kiintelijensia!!Tuache polisi wafanye kazi zao. Usalama wa mali na raia ni muhimu mno. Mhe. Rais anavutia wawekezaji hivyo lazima kuwe na usalama wa kutosha wa mali na raia. #Anayedhani kaonewa afungue kesi. Ndio utawala wa sheria. [emoji120][emoji120][emoji120]
Stupid and rubbishTuache polisi wafanye kazi zao. Usalama wa mali na raia ni muhimu mno. Mhe. Rais anavutia wawekezaji hivyo lazima kuwe na usalama wa kutosha wa mali na raia. #Anayedhani kaonewa afungue kesi. Ndio utawala wa sheria. πππ
TrueWalamba asali wanashikiliwa madarakani na mbeleko ya tanpol. Lao wote ni moja.
"Wote maji ga nyanja" -- JKN.
Kutegemea kuwa wanaweza kugeukana na kuchukuliana hatua itakuwa ni kusubiria dodo kwenye mnazi.
Kusuka au kunyoa yapo mikononi mwetu. Uwezo wa kuwalazimisha kufanya tunayotaka sisi tunao.
Uongozi dhaifuuuuuLile tukio la Mtwara lilinifanya nione safari bado ndefu sana, kwasababu licha ya Rais kusema polisi hawawezi kujichunguza, lakini bado naona limetawaliwa na ukimya.
Hii maana yake hata hao wachunguzi waliotafutwa nao waliishia mifukoni mwa polisi, ajabu na Rais nae yupo kimya wala haulizii chochote juu ya majibu ya ile ripoti, hapa ndipo udhaifu wa Rais unapothibitika.
kwan we jamaa akili zako ndo hizi au ni mtoto wako kaposti??Kama umri huo ni wa hovyo hivo ukizeeka sijui inakuajeTuache polisi wafanye kazi zao. Usalama wa mali na raia ni muhimu mno. Mhe. Rais anavutia wawekezaji hivyo lazima kuwe na usalama wa kutosha wa mali na raia. #Anayedhani kaonewa afungue kesi. Ndio utawala wa sheria. πππ