Mauaji Mbeya: Afisa Ustawi wa Jamii adaiwa kunyongwa hadi kufa

Mauaji Mbeya: Afisa Ustawi wa Jamii adaiwa kunyongwa hadi kufa

Najiuliza maswali mengi sana ni technology imechukia advantage au nn kwenye hii nchi yangu ya maziwa na asali?

Kila kukicha na jambo jipya la ama mauaji ama kujinyonga.

Haya mambo huko siku za nyuma hatukuyasikia au kuyaona kwa sasa kulikoni?

Au wapi tunafeli Watanzania? Hatukuzoea kuona mambo kama haya so habari hizi sasa naona zishakuwa uniform kwa Tanzania nzima
Ni wakati sasa vyombo vya sheria na mamlaka za miji midogo kujitathimini!

Hayo ni mawazo yangu
 
Afisa Ustawi wa Jamii Mahabusu ya Watoto Mbeya, Gloria Kibira amekutwa amefariki nyumbani kwake ndani ya Mahabusu hiyo ,Jijini Mbeya...
Sote ni wa Mungu na sote tutarejea kwake. Pole kwa familia.
 
Afisa Ustawi wa Jamii wa Kituo cha Mahabusu ya Watoto kilichopo Kabwe Kata ya Iyela Jijini Mbeya Groria Kibira(38) amekutwa ameuawa kwa kunyongwa na Watu wasiojulikana kwenye nyumba yake ambayo ipo ndani ya eneo la Kituo cha Mahabusu hiyo .

Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema Watu wawili wanahojiwa ili kubaini chanzo cha mauaji "Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda Bukoba Kagera kwa ajili ya maziko.

Chanzo: Millard Ayo

My take: Simon Sirro unatafutwa, mfuate Ndugai tu.
 
Afisa Ustawi wa jamii wa kituo cha mahabusu ya watoto jijini Mbeya amekutwa amefariki baada ya kunyongwa na watu wasio julikana katika nyumba yake iliyo ndani ya eneo la kituo hicho.

My take: Simon Siro unatafutwa, mfuate Ndugai tu. View attachment 2109781
Hapa kuna mtu anatafutiwa kustaafu kwa lazima. Au ni aina mpya ya ugaidi? Leo yeye kesho mimi. Tuchunguzane na tuwataje wahalifu kabla hayajatufika.
 
Back
Top Bottom