Mauaji Mbeya: Afisa Ustawi wa Jamii adaiwa kunyongwa hadi kufa

Vifo, vifo, vifo. Sijui kwanini kipindi hiki. Sijui kwanini. Sijui kwanini.
Polisi wanashindwa wapi?
 
dah yaani unamuua kabisa mtoto mzuri kama huyu, nikumkosea sana Mwenyezi Mungu muumba.. wametuondolea burudani yetu ya dunia...
Unakuta walimla kwanza kabla ya kumuua
 
Saa 3 usiku watoto walikuwa shule!
 
Vifo, vifo, vifo. Sijui kwanini kipindi hiki. Sijui kwanini. Sijui kwanini.
Polisi wanashindwa wapi?
Polisi ndio wanatuma watu, au rahis anashindwa kukemea Kama magu alivyokuwa mkali, magu tukimuogopa utawala wake.
 

 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…