johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Hakika bwashee!Mama kaongea Kama kiongozi, si muda wa kuchochea ni muda wa kupunguza munkari Kwa wananchi wenye hasira,
halafu utaratibu mzuri wa jinsi ya kuabudu utafuata.
Waliokufa wametoka mikoa mitatu ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara!Mtaleta visingizio vyote ila sababu hasa ni laana, watu wa huko wana chuki sana!
Mmh!Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amesema paliwekwa mabeseni ya mafuta katika mageti yote ila cha ajabu katika geti moja palitokea kundi la vijana kutoka nje ya uwanja na kulazimisha kuingia ndani kwa nguvu ndipo watu wakaanza kukanyagana.
Akizungumza katika ibada ya kuwaaga marehemu mama Mghwira amesema vijana hao hawaeleweki walikuwa wanaingia uwanjani kufanya nini kwani ibada ilishamalizika, yawezekana walikuwa vibaka.
Mkuu wa mkoa amewataka vijana hao wasiofahamika hadi sasa kutubu mbele za Mungu kwani dhambi waliyoitenda ni mbaya sana.
Mama Mghwira amesema Huduma za kiimani zitaendelea kama kawaida na kwamba mikutano ya Injili kuanzia sasa itaratibiwa kwa makini na ameomba kukutana na viongozi wote wa dini mkoani humo.
Mama Mghwira amesema aliongea na Rais Magufuli leo asubuhi na kwamba Rais alimtaka kutositisha shughuli za kidini bali waweke utaratibu mzuri wa kuzimonitor.
Source: TBC
Maelezo haya...yana majibu ya kishetani....Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amesema paliwekwa mabeseni ya mafuta katika mageti yote ila cha ajabu katika geti moja palitokea kundi la vijana kutoka nje ya uwanja na kulazimisha kuingia ndani kwa nguvu ndipo watu wakaanza kukanyagana.
Akizungumza katika ibada ya kuwaaga marehemu mama Mghwira amesema vijana hao hawaeleweki walikuwa wanaingia uwanjani kufanya nini kwani ibada ilishamalizika, yawezekana walikuwa vibaka.
Mkuu wa mkoa amewataka vijana hao wasiofahamika hadi sasa kutubu mbele za Mungu kwani dhambi waliyoitenda ni mbaya sana.
Mama Mghwira amesema Huduma za kiimani zitaendelea kama kawaida na kwamba mikutano ya Injili kuanzia sasa itaratibiwa kwa makini na ameomba kukutana na viongozi wote wa dini mkoani humo.
Mama Mghwira amesema aliongea na Rais Magufuli leo asubuhi na kwamba Rais alimtaka kutositisha shughuli za kidini bali waweke utaratibu mzuri wa kuzimonitor.
Source: TBC
Kivipi bwashee?!
Utakuwa muumini wa Mwamposa wewe!Hapo Mwamposa hana kesi ya kujibu
Kwa mfano kwa Babu wa Loliondo watu wangekanyagana nani angewajibishwa?
Watu wa lindi na mtwara nao wana nini?Kagera nako wana nini?Mtaleta visingizio vyote ila sababu hasa ni laana, watu wa huko wana chuki sana!
Kumbe kuna mijitu mijinga hapa duniani!Sababu zote zimeelezwa na RC wa Kilimanjaro na kuwekwa sawa, kwa maelezo haya Mwamposa hana kosa lolote,
Mungu prove wrong watu walio kuwa nanamsema vibaya mtume, sio bure hapa, walio vamia watakuwa walitumwa kuja kumchafua mtume, 🤔
Wajinga ndio waliwao. Endeleeni hivyo hivyo mpaka mtume wenu atimize ndoto yake ya kununua ndege huku nyie wafuasi wake mkibakia kuwa makapuku tu.Sababu zote zimeelezwa na RC wa Kilimanjaro na kuwekwa sawa, kwa maelezo haya Mwamposa hana kosa lolote,
Mungu prove wrong watu walio kuwa nanamsema vibaya mtume, sio bure hapa, walio vamia watakuwa walitumwa kuja kumchafua mtume, [emoji848]
Au hao vibaka walikua wamevaa uniform?Hivi huo mkutano ulikuwa kwa mualiko au kila mtu alikuwa huru kuhudhuria? Maana katika kundi kubwa hivyo unafikiaje hitimisho la uwepo wa vibaka na kuwa ndio waliosababisha mauwaji? RC anacheza chini ya kiwango.......angekaa kimya tu awaachie polisi.
Maana KAFARA ni pamoja na kuwapumbaza watu akili zao hiyo kesi hata waje mamilioni ya wanasheria bado watatolewa Knock out.ndio hivyo kesi imeshaisha
Hapa umedhihirisha kuwa kichwani umebeba ugili-gili mtupu.Mtaleta visingizio vyote ila sababu hasa ni laana, watu wa huko wana chuki sana!
Tume ya polisi imeleta ripoti kamili ya tukio hili? Au ndiyo tunakubali mambo yaendelee kama hakuna kilichotokea? Kama tutaendelea kuambiwa tukakanyage mafuta najitangaza mimi siyo raia wa nchi hii. Hii nchi na serikali yake msinihesabu kama raia wenu. Nyie endeleeni tu na ujinga mliouamini kuwa utawakomboa.
Question markMkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amesema paliwekwa mabeseni ya mafuta katika mageti yote ila cha ajabu katika geti moja palitokea kundi la vijana kutoka nje ya uwanja na kulazimisha kuingia ndani kwa nguvu ndipo watu wakaanza kukanyagana.
Akizungumza katika ibada ya kuwaaga marehemu mama Mghwira amesema vijana hao hawaeleweki walikuwa wanaingia uwanjani kufanya nini kwani ibada ilishamalizika, yawezekana walikuwa vibaka.
Mkuu wa mkoa amewataka vijana hao wasiofahamika hadi sasa kutubu mbele za Mungu kwani dhambi waliyoitenda ni mbaya sana.
Mama Mghwira amesema Huduma za kiimani zitaendelea kama kawaida na kwamba mikutano ya Injili kuanzia sasa itaratibiwa kwa makini na ameomba kukutana na viongozi wote wa dini mkoani humo.
Mama Mghwira amesema aliongea na Rais Magufuli leo asubuhi na kwamba Rais alimtaka kutositisha shughuli za kidini bali waweke utaratibu mzuri wa kuzimonitor.
Source: TBC
Bwashee mbona umeshtuka sana?!
T.B Joshua alisema kuna helikopta ya Boko Haram ndio imetungua jengo lake!.Maana KAFARA ni pamoja na kuwapumbaza watu akili zao hiyo kesi hata waje mamilioni ya wanasheria bado watatolewa Knock out.
Usifanye masihara na KAFARA ya damu