kwani rais wa chuo akidisco si nikawaida kama watu wengine,kwahiyo umeenda SUA ili ukamchunguze rais siyo,piga kitabu dogo acha kuchunguza watu,nahisi ungepangiwa UDSM ungedisco first semester kwa uzembe wako wa kufuatalia maisha ya watu,kama huko SUA endelea na msuli wako wa kitoto
mkuu MeinKempf hivi mtu akidisco kuna kuja kusapua? teh teh teh.... hebu rekebisha hapo bhana!kwani huyo jamaa aki disco ni kitu cha ajabu? kama ka kamatwa kwenye strategic angle haina kwere.. yeye aje ku sapua tu atachomoka ikinasia zaid ajiandae kufanya carry-over.
daaah thaanx God semister hawajanidakaa.... Ngoja nianze kupiga msulii wa anatomY 1 maana ile semister Ya kwanza ilikuwa hatariii
aaaahhaaaa... kumbe ka sapua..., teteteteeee... hebu mwambie tukutane nae mwakani OPen university tuliendeleze libeneke kama kawa.mkuu MeinKempf hivi mtu akidisco kuna kuja kusapua? teh teh teh.... hebu rekebisha hapo bhana!
kwani rais wa chuo akidisco si nikawaida kama watu wengine,kwahiyo umeenda SUA ili ukamchunguze rais siyo,piga kitabu dogo acha kuchunguza watu,nahisi ungepangiwa UDSM ungedisco first semester kwa uzembe wako wa kufuatalia maisha ya watu,kama huko SUA endelea na msuli wako wa kitoto
Acheni utoto nyie watu wazima, kufauru sio ishu ya wapi ama wapi
kweli nimeamini kilimo kigumu!