rayman m
Senior Member
- Feb 6, 2012
- 120
- 27
Ni mda wa takribani mwezi sasa yale matoke yaliyokua yakisubiriwa yameachiwa watu kama kawaida kusaidiana kuyapata hata mimi yangu sijapata but naamini ntachomoka hata kwa mbinde. Kumekua na uvumi kuwa Rais wa chuo amedisco tunaomba basi mwenye habari kamili atujuze hapa jamvini kututoa wasi!