Mauaji sua!!!

Mauaji sua!!!

Status
Not open for further replies.

rayman m

Senior Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
120
Reaction score
27
Ni mda wa takribani mwezi sasa yale matoke yaliyokua yakisubiriwa yameachiwa watu kama kawaida kusaidiana kuyapata hata mimi yangu sijapata but naamini ntachomoka hata kwa mbinde. Kumekua na uvumi kuwa Rais wa chuo amedisco tunaomba basi mwenye habari kamili atujuze hapa jamvini kututoa wasi!
 
kwani huyo jamaa aki disco ni kitu cha ajabu? kama ka kamatwa kwenye strategic angle haina kwere.. yeye aje ku sapua tu atachomoka ikinasia zaid ajiandae kufanya carry-over.
 
SUA ni Chuo Kikuu ninachokiogopa na Kukitia Heshima. Tanzania kungekuwa na Chuo kingine Makini kama hiki hakuna mhitimu angeonekana KILAZA kwenye eneo lake la Kazi. Big Up SUA huna Mchezo na VILAZA. Hata kama wataundiwa kamati ya Kufaulishwa na Bunge.
 
hahaaaaa SUA bana...mimi hata kwa viboko sirudi pale kusoma?Agronomy ilinitesa sana
 
kwani rais wa chuo akidisco si nikawaida kama watu wengine,kwahiyo umeenda SUA ili ukamchunguze rais siyo,piga kitabu dogo acha kuchunguza watu,nahisi ungepangiwa UDSM ungedisco first semester kwa uzembe wako wa kufuatalia maisha ya watu,kama huko SUA endelea na msuli wako wa kitoto
 
nawe ni mwanadhuoni?
 
kama kawa mm ni mwanadhuoni wa mwaka wa pili UD,unataka nini eshacky kutoka kwangu?????
 
kwani huyo jamaa aki disco ni kitu cha ajabu? kama ka kamatwa kwenye strategic angle haina kwere.. yeye aje ku sapua tu atachomoka ikinasia zaid ajiandae kufanya carry-over.
mkuu MeinKempf hivi mtu akidisco kuna kuja kusapua? teh teh teh.... hebu rekebisha hapo bhana!
 
Last edited by a moderator:
daaah thaanx God semister hawajanidakaa.... Ngoja nianze kupiga msulii wa anatomY 1 maana ile semister Ya kwanza ilikuwa hatariii
 
daaah thaanx God semister hawajanidakaa.... Ngoja nianze kupiga msulii wa anatomY 1 maana ile semister Ya kwanza ilikuwa hatariii

Mkuu inaonesha uko bvm wewe, hebu tunyepesishe msuli wa huko mkuu!! Madude yanasomeka lakini? Mtu kama hujasoma kemia inakuwaje mkuu?
 
chemia haina role kabisaaaa.... even bioz ndo kidogo mtaikuta kwa physiology.... but kuhusu anatomY...... histology... biochem and embryologY.... vitu vyote vipya afu vya ajabuajabu.... tu.... so jipange.... sanaaaa uzuriii wa vet kuwa na kichwa kizuriii cha kumezaaa ukiwa unapoteza kumbukumbu fastaa sikudanganyiii utaiona shule chungu.... mi mwenyew hapa nimedakwa grossy 1 so nafikiria nitaanzaje kuisoma ni hayo tu mkuu
 
mkuu MeinKempf hivi mtu akidisco kuna kuja kusapua? teh teh teh.... hebu rekebisha hapo bhana!
aaaahhaaaa... kumbe ka sapua..., teteteteeee... hebu mwambie tukutane nae mwakani OPen university tuliendeleze libeneke kama kawa.
ila mkuu inaonekana kama unataka kugombea u enyekiti au hata u-vice wa chuo na ukikosa hata uwazili mkuu tuu.au vipi?
 
kwani rais wa chuo akidisco si nikawaida kama watu wengine,kwahiyo umeenda SUA ili ukamchunguze rais siyo,piga kitabu dogo acha kuchunguza watu,nahisi ungepangiwa UDSM ungedisco first semester kwa uzembe wako wa kufuatalia maisha ya watu,kama huko SUA endelea na msuli wako wa kitoto

Acheni utoto nyie watu wazima, kufauru sio ishu ya wapi ama wapi
 
Nan kakwambia maana matokeo ya Aea bado hayajatoka we upo kweny board?
 
Acheni utoto nyie watu wazima, kufauru sio ishu ya wapi ama wapi

nahisi ww umepangiwa SEKOMU ndo mana unalalamika sana,degree zenyewe mnapewa mezani je utaweza fanana na mm????????????????????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom