Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hii habari watu wa TFS na Mamlaka za Wilaya ya Uvinza wanapaswa kuongea na vyombo vya habari kwa uwazi kabisa na kutoa onyo kaliPoleni.
Hicho ni kitu kikubwa, ongeza nyama
Wanaotaka kuchafua serikali watashughulikiwa. Mh Rais amehidhatiti hakuna dhulma na uonevu ktk ardhi ya Tanzania tena.Hello JF
Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la police, mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya serikali.
Ni hatari sana ni hatari sana kilichotokea huko Uvinza ni hatari sana.
Wadiz
hawa wanastahili kuadabishwa sana tukiwalea ni hatari sanaWanaotaka kuchafua serikali watashughulikiwa. Mh Rais amehidhatiti hakuna dhulma na uonevu ktk ardhi ya Tanzania tena.
Mkuu uvinza imekukolea, mwili husisimka kila ukisikia jina la uvinza au chumvini, hahaha.Umenshtua nilivyosikia Uvinza.
Nikajua
Acha wawanyooshe wamezid uonevu wa ki***geMkuu uvinza imekukolea, mwili husisimka kila ukisikia jina la uvinza au chumvini, hahaha.
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app