Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi fulani n.k
Aina hii ya mauaji imekuwa maarufu zaidi katika nchi za magharibi ikihusishwa zaidi na matatizo ya akili lakina kwa miaka kadhaa ya karibuni sana katika nchi za Africa Mashariki nako kumeanza kuonekana dalili hii ya matukio ambapo watu wanapotea au kuuwawa tu bila sababu za kueleweka zilizozoeleka kama ujambazi, mapenzi, siasa, kugombea mali n.k
Hii inaweza kuwa dalali mbaya sana ya kuchipuka kwa serial killer disorder.