Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

sisi tunauwawa albino wanavyotuita,wanatukata kama nyama ya butcher,Mungu yupo iko siku.
 
Awamu ya Kikwete viongozi wote kuanzia Rais wameamua kutumia kalumanzila ya design hii ya viungo vya Albino.
Albino kwa sasa kimbieni nchi tu tena muende mbali kabisa mkaombe hifadhi kwa sababu hii serikali itawamaliza kweli.
Nawaaasa kimbieni mbali na hii nchi mkajisalimishe kwenye balozi za wazungu mbali na TZ otherwise hii serikali inawamaliza
 
Dah Yaani wanasingizia wanasiasa kumbe ni wachungaji ndio wanaoua maalbino? Wana laana hawa wachungaji aisee
 
Ndio hayo mkuu wangu.

Hawa watu wana hatari sana.
Mi nashauri serikali ifanye upekuzi kila mara kwenye nyumba za hawa watu.
Manake pia wengi tu wanashutumiwa na biashara ya unga wa sembe.

Taifa na Raia wake linalia mno kwa ajili ya watu km hawa.
Uzi hautapata wachangiaji,angekuwa ni kiongozi wa dini ya haki,ungepata wachangiaji wakukashifu.
 
HAAAA! POLISI WAJING* YAANI KILA KITU KIPO WAZI ALAFU WANATAKA KUFANYA UCHUNGUZI!! Mhh!!
 

Fanya utueleze hii habari yako ni ya mwaka gani?...Maana huyo Zelothe Stephen sasa hivi ni mstaafu....Kaondoka Mbeya karibu miaka mitano sasa imefika...Aliondoka Mbeya akaenda Dodoma kuwa RPC akastaafu kabla ya kuombwa tena kwa mkataba maalum ambapo alienda kuwa RPC Mtwara na kustaafu baada ya mkataba wake kumalizika..

Na FYI RPC Mbeya sasa hivi ni SACP Ahmed Msangi....Watangulizi wake ni ACP Advocate Nyombi (huyu alimbadili Zelothe) na DCP Diwani Atumani...

Unashangaza sana unapoweka habari ya mwaka 2009 bila kuwaeleza members kwamba hiyo ni habari zilipendwa...

Udini kitu kibaya sana.....Ubaguzi wa aina yoyote ile ni unyama...
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli sina imani (uliyonayo wewe)...

Imani na kupinga mauaji ya albino havipimwi kwa maneno ya uchochezi wa kidini kama hayo yako...

Anyways...Naomba tusibishane sana mkuu wangu
 

Mkuu Biashara ya Kanisa mpaka uwaroge hawa wagalatia ndio wanakuwa mazuzu,,usizani Kondoo wanatoa mamilioni kwa kupenda kweli maana hawana Imani hiyo, hawana dini, hawana Mungu, hawana kitabu,,,yaani kifupi ni kuwa hurumia kwakweli.
 

Hii zingine si dini ni majanga!
 
leo umegeukia tasnia ya uandishi wa habari: yaani umeacha kuchoma udi kwenye duka lako ili majini wakuletee wateja unaanza kugeuka mwadishi.
 
Haya mambo yanakera sana ....

Hatua stahiki zufuatwe kwa yoyote atakaekutwa na hatia bila kujali ni nani ......!!
 
Haaaaaaa ........

Kumbeeeeee.....

Hawa wahukuu wa yule jamaa siyejua kusoma wala kuandika ni tatizo sana

Kumbe habari ni ya zamani kiasi hiki!!??
 
Mchungaji wa nguruwe na mbwa ndiye kakutwa na vipande vya albino halafu unauliza dini inaingiaje?

Unaona ni haki mtu akifanya kosa ahukumiwe kwa dini yake na sio kama binadamu wa kawaida?
 
Unakuja macho juu bila kusoma Habari ilivyo!

Aliyekamatwa na VIUNGO VYA ALBINO ni MCHUNGAJI WA KANISA.
Sasa we unaweza Kumtenganisha MCHUNGAJI na KANISA LAKE?
Mtu kuwa mchungaji ni sawa na kuwa shehe au hakimu

Kwanini asiangaliwe kama binadamu mwingine badala yake mnamhukumu kwa dini yake?

Ni sawa kwa shehe au mwislam yoyote kuhukumiwa kwa dini yake?
 
Wacha maneno yako ya kinyesi hapa.Na kujitia hujaona ulichoituwa hapa.Unasemaje Kuhusu HUYO MCHUNGAJI ALIYEKUTWA NA VIUNGO VYA ALBINO? Je! Biblia inaliongelea hilo kuwa ni moja ya IBADA?Halafu nasikia nyie ndo zenu hizo ktk kutafuta UTAJIRI.
haaaaaaaaaaa Hiyo ni individual case. We bibilia si unaijua thibitisha sasa.. Mbona mimi nathibitisha kwa koran kuwa mtume wako ameuwa mtu.Na akasema i love..... kill my enemy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…