Shighatini
Member
- Oct 6, 2012
- 77
- 13
sisi tunauwawa albino wanavyotuita,wanatukata kama nyama ya butcher,Mungu yupo iko siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi hautapata wachangiaji,angekuwa ni kiongozi wa dini ya haki,ungepata wachangiaji wakukashifu.Ndio hayo mkuu wangu.
Hawa watu wana hatari sana.
Mi nashauri serikali ifanye upekuzi kila mara kwenye nyumba za hawa watu.
Manake pia wengi tu wanashutumiwa na biashara ya unga wa sembe.
Taifa na Raia wake linalia mno kwa ajili ya watu km hawa.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,Bw.Zelothe Stephen aliwataja watuhumiwa wawili kuwa ni Mchungaji wa kanisa la Pentekoste Idiwili,Cosmas Mwasenga (39) na Luseshelo Mwashilindi (38) ambao walikutwa na viungo vinavyodhaniwa vya maeneo ya mikono wakipita kutafuta wateja huku wakiviita kwa jina la ¡viungo vya Kunguru mweupe¢.
Kamanda Stephen alisema kuwapolisi walipokea taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu kuwepo watu waliokuwa wanatafuta wateja wa viungo hivyo vya albino katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya Makunguru na Mwanjelwa wakitamka jina la kunguru mweupe.
Alisema kuwa polisi baada ya kupata taarifa hiyo waliweka mtego kwa kujifanya wanunuzi ambapo baada ya kupata bei hiyo walikwenda kuchukua viungo hivyo kwa mtuhumiwa Mwashilindi na kuvikuta huku vikiwa vimefungwa kwa mafungu mawili yaliyokuwa na vipande vinne vya viungo hivyo vikiwa vimewekwa katika karatasi.
Aidha Kamanda Stephen alisema kuwa baada ya kuwakamata watuhumiwa wote wawili walikwenda kufanya upekuzi katika nyumba ya Mchungaji Mwasenga na kufanikiwa kukuta chupa ya dawa ya sindano ya kutibu binadamu aina ya Penicilline na maji yake sanjari na koti jeusi.
Kamanda Stephen alisema watuhumiwa wamekamatwa na watafikishwa mahakamani muda wowote baada ya uchunguzi kukamilika na kwamba viungo hivyo vinatarajiwa kufikishwa kwa mkemia mkuu kwa uchunguzi zaidi.
SOURCE.
Dullonet Tanzania | Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste akamatwa na viungo vya Albino.
My Take.
Hivi hawa WACHUNGAJI NANI ANAWARUHUSU KUFUNDISHA WATU IBADA? AU HATA KUWA NA NAFASI YA NAMNA HIO KTK JAMII?
Halafu unakuta WANAKONDOO WANAENDA KUSAMEHEWA DHAMBI NA WATU KM HAWA.
Amma kweli Kondoo wanahitaji mwalimu wa ajabu kabisa.
Cc 2013 Kakende Eiyer FaizaFoxy faby stata mzuka Mipangomingi mgen Gavana Pasco Ishmael
Ni kweli sina imani (uliyonayo wewe)...HOJA HAPA SIO MWAKA WA TUKIO.
Hoja ni MCHUNGAJI Kakutwa na VIUNGO VYA BINAADAMU.
Sasa huu ndio ubaya wenu nyie wakolosai.
HAKUNA Hata neno MOJA ulilo andika hapa Linalopinga au KUONYESHA JAPO HURUMA KWA WAHUSIKA rather UNALIITA tukio hilo "ZILIPENDWA" kwa maana kuwa TUKIO HILO wewe Ulilipenda!
Nyie viumbe SIJUI NI MASHETANI wa Nchi gani aisee!
Dah!
Hata dalili ya IMANI huna.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,Bw.Zelothe Stephen aliwataja watuhumiwa wawili kuwa ni Mchungaji wa kanisa la Pentekoste Idiwili,Cosmas Mwasenga (39) na Luseshelo Mwashilindi (38) ambao walikutwa na viungo vinavyodhaniwa vya maeneo ya mikono wakipita kutafuta wateja huku wakiviita kwa jina la ¡viungo vya Kunguru mweupe¢.
Kamanda Stephen alisema kuwapolisi walipokea taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu kuwepo watu waliokuwa wanatafuta wateja wa viungo hivyo vya albino katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya Makunguru na Mwanjelwa wakitamka jina la kunguru mweupe.
Alisema kuwa polisi baada ya kupata taarifa hiyo waliweka mtego kwa kujifanya wanunuzi ambapo baada ya kupata bei hiyo walikwenda kuchukua viungo hivyo kwa mtuhumiwa Mwashilindi na kuvikuta huku vikiwa vimefungwa kwa mafungu mawili yaliyokuwa na vipande vinne vya viungo hivyo vikiwa vimewekwa katika karatasi.
Aidha Kamanda Stephen alisema kuwa baada ya kuwakamata watuhumiwa wote wawili walikwenda kufanya upekuzi katika nyumba ya Mchungaji Mwasenga na kufanikiwa kukuta chupa ya dawa ya sindano ya kutibu binadamu aina ya Penicilline na maji yake sanjari na koti jeusi.
Kamanda Stephen alisema watuhumiwa wamekamatwa na watafikishwa mahakamani muda wowote baada ya uchunguzi kukamilika na kwamba viungo hivyo vinatarajiwa kufikishwa kwa mkemia mkuu kwa uchunguzi zaidi.
SOURCE.
Dullonet Tanzania | Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste akamatwa na viungo vya Albino.
My Take.
Hivi hawa WACHUNGAJI NANI ANAWARUHUSU KUFUNDISHA WATU IBADA? AU HATA KUWA NA NAFASI YA NAMNA HIO KTK JAMII?
Halafu unakuta WANAKONDOO WANAENDA KUSAMEHEWA DHAMBI NA WATU KM HAWA.
Amma kweli Kondoo wanahitaji mwalimu wa ajabu kabisa.
Cc 2013 Kakende Eiyer FaizaFoxy faby stata mzuka Mipangomingi mgen Gavana Pasco Ishmael Nyakageni Remote

leo umegeukia tasnia ya uandishi wa habari: yaani umeacha kuchoma udi kwenye duka lako ili majini wakuletee wateja unaanza kugeuka mwadishi.Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,Bw.Zelothe Stephen aliwataja watuhumiwa wawili kuwa ni Mchungaji wa kanisa la Pentekoste Idiwili,Cosmas Mwasenga (39) na Luseshelo Mwashilindi (38) ambao walikutwa na viungo vinavyodhaniwa vya maeneo ya mikono wakipita kutafuta wateja huku wakiviita kwa jina la ¡viungo vya Kunguru mweupe¢.
Kamanda Stephen alisema kuwapolisi walipokea taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu kuwepo watu waliokuwa wanatafuta wateja wa viungo hivyo vya albino katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya Makunguru na Mwanjelwa wakitamka jina la kunguru mweupe.
Alisema kuwa polisi baada ya kupata taarifa hiyo waliweka mtego kwa kujifanya wanunuzi ambapo baada ya kupata bei hiyo walikwenda kuchukua viungo hivyo kwa mtuhumiwa Mwashilindi na kuvikuta huku vikiwa vimefungwa kwa mafungu mawili yaliyokuwa na vipande vinne vya viungo hivyo vikiwa vimewekwa katika karatasi.
Aidha Kamanda Stephen alisema kuwa baada ya kuwakamata watuhumiwa wote wawili walikwenda kufanya upekuzi katika nyumba ya Mchungaji Mwasenga na kufanikiwa kukuta chupa ya dawa ya sindano ya kutibu binadamu aina ya Penicilline na maji yake sanjari na koti jeusi.
Kamanda Stephen alisema watuhumiwa wamekamatwa na watafikishwa mahakamani muda wowote baada ya uchunguzi kukamilika na kwamba viungo hivyo vinatarajiwa kufikishwa kwa mkemia mkuu kwa uchunguzi zaidi.
SOURCE.
Dullonet Tanzania | Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste akamatwa na viungo vya Albino.
My Take.
Hivi hawa WACHUNGAJI NANI ANAWARUHUSU KUFUNDISHA WATU IBADA? AU HATA KUWA NA NAFASI YA NAMNA HIO KTK JAMII?
Halafu unakuta WANAKONDOO WANAENDA KUSAMEHEWA DHAMBI NA WATU KM HAWA.
Amma kweli Kondoo wanahitaji mwalimu wa ajabu kabisa.
Cc 2013 Kakende Eiyer FaizaFoxy faby stata mzuka Mipangomingi mgen Gavana Pasco Ishmael Nyakageni Remote
Hii zingine si dini ni majanga!
Haaaaaaa ........Fanya utueleze hii habari yako ni ya mwaka gani?...Maana huyo Zelothe Stephen sasa hivi ni mstaafu....Kaondoka Mbeya karibu miaka mitano sasa imefika...Aliondoka Mbeya akaenda Dodoma kuwa RPC akastaafu kabla ya kuombwa tena kwa mkataba maalum ambapo alienda kuwa RPC Mtwara na kustaafu baada ya mkataba wake kumalizika..
Na FYI RPC Mbeya sasa hivi ni SACP Ahmed Msangi....Watangulizi wake ni ACP Advocate Nyombi (huyu alimbadili Zelothe) na DCP Diwani Atumani...
Unashangaza sana unapoweka habari ya mwaka 2009 bila kuwaeleza members kwamba hiyo ni habari zilipendwa...
Udini kitu kibaya sana.....Ubaguzi wa aina yoyote ile ni unyama...
Dini inaingiaje kwenye suala hili?
Mchungaji wa nguruwe na mbwa ndiye kakutwa na vipande vya albino halafu unauliza dini inaingiaje?
Mtu kuwa mchungaji ni sawa na kuwa shehe au hakimuUnakuja macho juu bila kusoma Habari ilivyo!
Aliyekamatwa na VIUNGO VYA ALBINO ni MCHUNGAJI WA KANISA.
Sasa we unaweza Kumtenganisha MCHUNGAJI na KANISA LAKE?
Unaona ni haki mtu akifanya kosa ahukumiwe kwa dini yake na sio kama binadamu wa kawaida?
haaaaaaaaaaa Hiyo ni individual case. We bibilia si unaijua thibitisha sasa.. Mbona mimi nathibitisha kwa koran kuwa mtume wako ameuwa mtu.Na akasema i love..... kill my enemyWacha maneno yako ya kinyesi hapa.Na kujitia hujaona ulichoituwa hapa.Unasemaje Kuhusu HUYO MCHUNGAJI ALIYEKUTWA NA VIUNGO VYA ALBINO? Je! Biblia inaliongelea hilo kuwa ni moja ya IBADA?Halafu nasikia nyie ndo zenu hizo ktk kutafuta UTAJIRI.
dini haiingii labda kama ni dhehebuMchungaji wa nguruwe na mbwa ndiye kakutwa na vipande vya albino halafu unauliza dini inaingiaje?