Shukrani sana kwa maelezo yaliyonyooka
Hauwafahamu wale watoto wa Dr Slaa wa mke mkubwa? Mmoja kati yao atakuwa anakaribia miaka 30 kama hajapita. Tusiwajadili sana hawa.Dr Slaa aliomba kuacha uPadri tangu mwaka 1986....Wakati huo hata mtoto mmoja hajazaliwa...Acha kupotosha
Sema Process ya hadi Pope ku approve hua inachukua miaka
Na ndicho kilichotokea.
Aliamua yeye kuacha kwa dhamiri yake bila kushurutishwa na mtu yeyote
Naturally ukiishi na mtu under one roof kwa miezi sita while cohabiting hio ni ndoa...Marriage Act ya Tanzania,1971.Ndicho kilichotokea kwa Rose.
Tuyaache hayo.
Ukatibu mkuu mzuri wa kinana unatokana na nini?
Huyu amenufaika na mapato haramu...anafaa kujiuzulu...hafai hata kusimama mbele ya watu
CCM ni chafu...sio imeharibika kiasi....Imeoza
Usidanganye watu kuwa eti ukiwa na kampuni ya Usafiri utasafiri unasafirisha kila kitu...really? Hata madawa ya kulevya?
Hembu ni saidieni kwani huu uuwaji na utekaji wa watu ulianza muongo upi wa Ndg Allhassan Mwinyi, Ndg Benjamin Mkapa, au Ndg Jakaya Kikwete nani kwa nini.
Dr.Slaa alishinda 2010Wa kulaumiwa hapa ni Kinana pekeyake? Dr Slaa alianguka urais 2010, alipaswa kuendelea na wadhifa huo?
Mauaji yalianza mwaka 2006...Kipindi cha Kikwete...Hadi sasa 76 wameuawa...18 wamepata ulemavu....
Tunaposema CCM ya Kikwete inahusika hatutanii
La juzi geita kundi la kina Mwigulu limehusika
Na kusema ili TRA wasikusumbue jiunge na CCM,nasikia naye anataka kutangaza nia,Hivi degree yake alimaliza?alisomea nini?najua mwanzoni alikuwa mwalimu wa chuo cha mifugo sasa alichosomea baadae sikijui ila najua alienda Marekani baada ya kupoteza U Waziri mkuu.Sumaye ameongea vizuri ila na yeye aache unafiki sasa maana akiwa PM ndiye alikua muasisi wa Rushwa na kuibatiza jina zuri "Takrima" na kuwatisha wafanyabiashara kuwa ili wafanikiwe ni lazima waichangie CCM.
Ndugu yangu hawa watawala ni watu wa hatari kuliko unavyofikiria; ni watu wenye maarifa ya ulimwengu usioonekana kwa macho, wanajua kuwa huwezi kuwa kiongozi mkuu hapa duniani kama hujaonana na lucifer mwenyewe ana kwa ana ili akupe nyota za kukufanya uwe kiongozi.
Unfortunately nyota hizo hazipatikani mahali popote isipokuwa toka kwa wanadamu walioumbwa na MUNGU JEHOVA ambaye ameweka nyota (umahiri) ndani ya watu.
Kuweza kupata utawala huwa wanafanya biashara, wanampa damu na roho za watu na kisha yeye anawapa utawala. Hakuna utawala unaosimama hivi hivi there has to be a spiritual power behind it either from God or from Satan...na matendo ya huyo kiongozi yatakujulisha kama amepata utawala kwa shetani au kwa Mungu Jehova. Mfano akiwa kiongozi mwizi, muuaji, katili, you know straight away kuwa katoa kafara kwa mashetani ndio kapata position aliyo nayo.
Watu hawa ni wabaya kuliko unavyowaona kwenye suti zao, wanaweza kuzamisha meli kichawi ili watoe kafara baharini, au kuangusha train au basi kichawi. They are extremely dangerous, sisi tunawaona kwenye suti wanacheka cheka tunafikiri ni wenzetu, they are not!!
Sumaye ameongea vizuri ila na yeye aache unafiki sasa maana akiwa PM ndiye alikua muasisi wa Rushwa na kuibatiza jina zuri "Takrima" na kuwatisha wafanyabiashara kuwa ili wafanikiwe ni lazima waichangie CCM.
Mtanzania yeyote anaruhusiwa kumiliki silaha ili mradi afate masharti ya kumiliki silaha.
CCM IKO BUSY NA KUUSAKA URAIS KWA WAGANGA.
Hii ni aibu
Hauwafahamu wale watoto wa Dr Slaa wa mke mkubwa? Mmoja kati yao atakuwa anakaribia miaka 30 kama hajapita. Tusiwajadili sana hawa.
Kwani madawa yanafikaje hapa nchini? Yanaletwa kwa mashirika ya ndege yanayoheshimika sana. Yanaletwa pia kwa meli kubwa, mabasi mazuri tu.
Na kusema kwamba kila gari liwe na gavana anazoagiza yeye tu.Na kusema ili TRA wasikusumbue jiunge na CCM,nasikia naye anataka kutangaza nia,Hivi degree yake alimaliza?alisomea nini?najua mwanzoni alikuwa mwalimu wa chuo cha mifugo sasa alichosomea baadae sikijui ila najua alienda Marekani baada ya kupoteza U Waziri mkuu.
Sasa hapa ndio pakujadili na huu utekaji wa kuona kucha ni kwa nini itokee awamu ya Ndg Jakaya Kikwete? Inabidi tuchanganye akili na maarifa tuliyo nayo kuna ukakasi upo ndani yake .
Sio kweli kuhusu hao watoto na hautakiwi kuleta upotoshaji na ukaachwa hivyo hivyo.
Dr Slaa na Rose wana watoto wawili ambao ni Emiliana Slaa na Linus Slaa,Wa kwanza Emiliana alizaliwa mwaka 1987 .
Unaelewa kazi ya shipping Agency? Tuanzie hapo...manake unaonekana huelewi hili.
Shipping Agency haimiliki meli...ila inasafirisha mizigo kupitia meli...na inashangaza sana kama shipping Agency inayosafirisha mizigo haijui ni mzigo gani unasafirishwa? Open your mind chap
a
Padre Slaa alivuruga useja muda mrefu kabla hajaacha upadre. Huyu baba muda huu angekuwa ni Askofu kwa nafasi ile aliokuwa nayo TEC. Makatibu wengi wa TEC kama si wote wamekuwa Maaskofu. Hauwezi kuiacha sacramenti ile halafu ukawa kiongozi mzuri kwingineko.
Hiyo Shipping Agency iliachwaje na Wachina walivyo wakali vile?
a
Padre Slaa alivuruga useja muda mrefu kabla hajaacha upadre. Huyu baba muda huu angekuwa ni Askofu kwa nafasi ile aliokuwa nayo TEC. Makatibu wengi wa TEC kama si wote wamekuwa Maaskofu. Hauwezi kuiacha sacramenti ile halafu ukawa kiongozi mzuri kwingineko.
Hiyo Shipping Agency iliachwaje na Wachina walivyo wakali vile?