Ndugu yangu hawa watawala ni watu wa hatari kuliko unavyofikiria; ni watu wenye maarifa ya ulimwengu usioonekana kwa macho, wanajua kuwa huwezi kuwa kiongozi mkuu hapa duniani kama hujaonana na lucifer mwenyewe ana kwa ana ili akupe nyota za kukufanya uwe kiongozi.
Unfortunately nyota hizo hazipatikani mahali popote isipokuwa toka kwa wanadamu walioumbwa na MUNGU JEHOVA ambaye ameweka nyota (umahiri) ndani ya watu.
Kuweza kupata utawala huwa wanafanya biashara, wanampa damu na roho za watu na kisha yeye anawapa utawala. Hakuna utawala unaosimama hivi hivi there has to be a spiritual power behind it either from God or from Satan...na matendo ya huyo kiongozi yatakujulisha kama amepata utawala kwa shetani au kwa Mungu Jehova. Mfano akiwa kiongozi mwizi, muuaji, katili, you know straight away kuwa katoa kafara kwa mashetani ndio kapata position aliyo nayo.
Watu hawa ni wabaya kuliko unavyowaona kwenye suti zao, wanaweza kuzamisha meli kichawi ili watoe kafara baharini, au kuangusha train au basi kichawi. They are extremely dangerous, sisi tunawaona kwenye suti wanacheka cheka tunafikiri ni wenzetu, they are not!!