OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Dr Slaa bado ni Padre wetu pamoja na hayo makandokando yake. Upadre ni sacramenti kama ilivyo ndoa. Hilo kusudio la kuacha kama ndilo lililomruhusu kuzaa immediately sijawahi sikia ndani ukatoliki wangu huu mkongwe.Anaruka ruka kama mahindi ya pop corn ndani ya kikaango.Ukiwa muongo usiwe msahaulifu,nilikuwa namwangalia tu kuhusu mjadala wa Dr Slaa kuacha upadri,jamaa ni bonge ya mpotoshaji.Kumbe watu makini wamekwenda nae man to man mwisho atarukia maswala ya Vatican.
Sasa ukiambiwa hata ushindi huu wa Kimbunga wa CHADEMA unatokana na viungo vya Albino na uchawi wa Rukwa utakataa? Usidhani wachawi wako CCM tu. Hili ni letu sote WATANZANIA. Dunia ingine ndivyo inavyotutazama.Hatuwezi kuungana na wauaji, umoja wa wahalifu ni uhalifu pia.
Hilo unasema wewe...lakini huyo ni mshirika wa kinana....silaha wanatumia zingine zaidi ya hiyo....hauoni hata namna wanavyoshika silaha inafanana.....Trained Majangili
Vigogo woote wa CHADEMA hakuna mshirikina? Tatizo hili tulisimamie KITANZANIA. Tukigawanyika na kunyoosheana vidole tunawapa mwanya wahalifu hawa. Hii sio ESCROWHoja yako ni nzuri lakini haiondoi ukweli kuwa wahusika hawapatikani kwa sababu ni baadhi yao ni vigogo serikalini na kwenye chama tawala
So trained majangali wanashika silaha namna hiyo? Na wewe ni mmoja wao?
Vigogo woote wa CHADEMA hakuna mshirikina? Tatizo hili tulisimamie KITANZANIA. Tukigawanyika na kunyoosheana vidole tunawapa mwanya wahalifu hawa. Hii sio ESCROW
Dr Slaa bado ni Padre wetu pamoja na hayo makandokando yake. Upadre ni sacramenti kama ilivyo ndoa. Hilo kusudio la kuacha kama ndilo lililomruhusu kuzaa immediately sijawahi sikia ndani ukatoliki wangu huu mkongwe.
Nchi hii tuombe duwa rais ajae awenaroho kama ya kikwete ya kutupa ruksa ya kutukana viongozi na kuropoka kama yericko bila kushikwa wa kubughdhiwa
Mkuu ile issue hata mimi sijui ilivyoenda, lakini mtoa mada hapa aliichnganya zaidi kwa kuweka yake ya kufikirika.Kwani mkuu hebu nijuze.. Polisi walikuwa wanarushiana risasi na nani.. wanajeshi..? Maana naona picha imefia kati wala haijajulikana mwisho iliishia wapi..!
Lete picha yako ukiwa umelishika hilo gobole
Hatuwezi kuungana na wauaji, umoja wa wahalifu ni uhalifu pia.
Mkuu ile issue hata mimi sijui ilivyoenda, lakini mtoa mada hapa aliichnganya zaidi kwa kuweka yake ya kufikirika.
Kinana ni retired Col. wa jeshi.Lete picha yako ukiwa umelishika hilo gobole