Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Kwa kuwa naandika kwa hasira sana,sina mengi naomba kujua kama Mtanzania mwenzangu umeridhika na mapambano ya amiri jeshi mkuu katika vita ya dhidi ya madhira ya ndugu zetu wapendwa Albino.Mana mi naona kama a$ga&haaghaaa.
 
Anaruka ruka kama mahindi ya pop corn ndani ya kikaango.Ukiwa muongo usiwe msahaulifu,nilikuwa namwangalia tu kuhusu mjadala wa Dr Slaa kuacha upadri,jamaa ni bonge ya mpotoshaji.Kumbe watu makini wamekwenda nae man to man mwisho atarukia maswala ya Vatican.
Dr Slaa bado ni Padre wetu pamoja na hayo makandokando yake. Upadre ni sacramenti kama ilivyo ndoa. Hilo kusudio la kuacha kama ndilo lililomruhusu kuzaa immediately sijawahi sikia ndani ukatoliki wangu huu mkongwe.
 
Hatuwezi kuungana na wauaji, umoja wa wahalifu ni uhalifu pia.
Sasa ukiambiwa hata ushindi huu wa Kimbunga wa CHADEMA unatokana na viungo vya Albino na uchawi wa Rukwa utakataa? Usidhani wachawi wako CCM tu. Hili ni letu sote WATANZANIA. Dunia ingine ndivyo inavyotutazama.
 
Hilo unasema wewe...lakini huyo ni mshirika wa kinana....silaha wanatumia zingine zaidi ya hiyo....hauoni hata namna wanavyoshika silaha inafanana.....Trained Majangili

So trained majangali wanashika silaha namna hiyo? Na wewe ni mmoja wao?
 
Siku hizi Sumaye anatoa kauli muafaka (saying the right things). Lakini hapo ndipo wengine tunapopata tabu kumtenganisha msemaji na kauli zake. Kwangu mimi, basi kwanza angejipa fursa ya kukiri na kuomba radhi kwa uozo aliotujengea miaka hiyo akiwa madarakani chini ya BM. Hapo, angalau angekuwa na nguvu kubwa zaidi ya kimaadili (higher moral platform) ya kuikemea na kuikosoa serikali hii iliyo bado chini ya chama chake kwa kuendeleza uozo unaomithili legacy yao. Tungebakia tu na kale kashaka kama kweli kabadilika au ni "dhiki" ya kuwa nje ya madaraka ndiyo iliyomuongezea busara - kama kawaida yao!
 
Hoja yako ni nzuri lakini haiondoi ukweli kuwa wahusika hawapatikani kwa sababu ni baadhi yao ni vigogo serikalini na kwenye chama tawala
Vigogo woote wa CHADEMA hakuna mshirikina? Tatizo hili tulisimamie KITANZANIA. Tukigawanyika na kunyoosheana vidole tunawapa mwanya wahalifu hawa. Hii sio ESCROW
 
Nimesoma gazeti la Jamhuri kuna Jamaa kakiri nakawataja Viongozi wa CCM wanahusika na Mauaji ya Albino kanda ya Ziwa,

Ila Jamhuri hawajaandika hayo Majina,

CC jacktoni MANYEREre.
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma gazeti la Jamhuri kuna Jamaa kakiri nakawataja Viongozi wa CCM wanahusika na Mauaji ya Albino kanda ya Ziwa,

Ila Jamhuri hawajaandika hayo Majina,

CC jacktoni MANYEREre.

Mkuu...mimi ninayosema nina ushahidi mnadhani nadanganya?

Ni kweli tupu....Muda ukiwadia tutauweka wazi kila mtu ashuhudie

Msiwaone watu wengine wanaonekana kama watu...Ni wanyama jamani nyie acheni tu
 
Vigogo woote wa CHADEMA hakuna mshirikina? Tatizo hili tulisimamie KITANZANIA. Tukigawanyika na kunyoosheana vidole tunawapa mwanya wahalifu hawa. Hii sio ESCROW

Hakuna kusema eti lisimamiwe kitanzania...wakati wanaoua ni ninyi Ma CCM ,ambao mnayo dola .....Jiulize kidogo...kwa nini mauaji haya yameshindwa kuzuiwa....watu 76 is not a joke
 
Dr Slaa bado ni Padre wetu pamoja na hayo makandokando yake. Upadre ni sacramenti kama ilivyo ndoa. Hilo kusudio la kuacha kama ndilo lililomruhusu kuzaa immediately sijawahi sikia ndani ukatoliki wangu huu mkongwe.

Wewe sio mkatoliki mkuu.
 
Mapambano yenyewe yapo wapi, au yale ya waziri mkuu wake kulia bungeni?
 
Nchi hii tuombe duwa rais ajae awenaroho kama ya kikwete ya kutupa ruksa ya kutukana viongozi na kuropoka kama yericko bila kushikwa wa kubughdhiwa
 
Kwani mkuu hebu nijuze.. Polisi walikuwa wanarushiana risasi na nani.. wanajeshi..? Maana naona picha imefia kati wala haijajulikana mwisho iliishia wapi..!
Mkuu ile issue hata mimi sijui ilivyoenda, lakini mtoa mada hapa aliichnganya zaidi kwa kuweka yake ya kufikirika.
 
Yeriko Nyerere ni kizazi cha wapika majungu wa karne hii ambao hawapaswi kuaminiwa hata kidogo. Enzi za Mwalimu watu hawa kamwe hawakuweza kupumua. Hoja mfu kabisa hizi ambazo hazistahili katika kizazi cha leo, taifa limekuwa na vijana laghai na wapotoshaji wakubwa. Tafuta kazi ya kufanya ndugu yangu badala ya kugeuza MAJUNGU ajira. Yote haya Mfadhili wako nani?
 
Back
Top Bottom