Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Kumbe wakichanjwa chale wanakosa ubora na vigezo vya kutendewa maovu?!...Kama ni kweli basi ni bora ifanyike kampeni kitaifa kunusuru ndugu zetu kwa njia hii ya "kinga ya chanjo"

Mkuu hata hita hiyo haifai kwasababu wengine wanaweza kuvamiwa kwa kukatwa viungo vyao alafu majibu yakatolewa baada ya yeye kudhuriwa. Adhabu stahiki ni iliyotolewa hapo na wananchi haina haja ya kuwapeleka courtini hawa.
 
Wamemuonea ushahidi hamna.wananchi kujichukulia sheria mkononi ni kosa hao watakuwa bavicha tu.
 
Its one of those rare occasion even a human right conscious mind can play blind, befitting end to the evil person.

Vita ya mauaji ya albino ni vita ya jamii nzima polisi sanasana wangepoteza muda habari za mahakama na kukaa sero,; haa long story wapewe tu social justice.

Tena inatakiwa polisi wakishafanya upelelezi na kuwajua wanarudi wanavaa kiraia na kushirikiana na wananchi kwenda kutoa mob justice kama hizi za kuchoma, habari za mahakama na mashetani wapi na wapi.
 
Kwa kweli aibu ilipofikia nchi inatisha,
Nina rafiki yangu mmoja toka Pakistan kabla ya hili tukio kama wiki moja katika story tunapiga ananiuliza mambo kibao kuhusu Tz,
Nilimsifia sana nchi yangu ilivyo, mwisho alikuja kuniambia kuna nchi ya Africa hajui nchi gani wanauwa albino kwa sababu ya utajiri, dah nguvu ziliniisha kabisa, yeye akaniambia alisoma kwenye net kati ya Nigeria au nchi nyingine kasahau, ilibidi niunganishe yes Nigeria ile sio Tz, lakini moyoni roho sana iliuma sana hii ishakuwa aibu mno kwa nchi
 
Kabla ya kumuua wangempiga picha na kuisambaza mtandaoni,hii ingetusaidia kuwatambua wale marafiki zake ambao walikuwa wakila bata pamoja bar baada ya kufanikisha dili ili nao wakione cha Mtema kuni.Imeniuma sana kumuua bila kufanya hivyo,
 
viongozi ndo watumiaji wakubwa wa viungo vya kibinadamu,ukitaka kuamini kuwa viongozi wanaamini ushirikina refer ile dawa ya babu wa loliondo,wote walikunywa
 
Hiyo ndio dawa yao lakini hawajifunzi sijui kwa nn! Haya mauaji ya albino yanauma sana jamani!
 
Kumbe wakichanjwa chale wanakosa ubora na vigezo vya kutendewa maovu?!...Kama ni kweli basi ni bora ifanyike kampeni kitaifa kunusuru ndugu zetu kwa njia hii ya "kinga ya chanjo"

Piga chata mwili mzima kila kona
 
dahhh watoto.wangu ntawachanjaa ata,chale za,uongo
 
achaneni na hili liserikani hovyn kila mwenye alibino wake atafutie sehemu salama ya kuishi ikiwezekana hata nje ya nchi sie wakwetu yuko nairobi au mumnunulie bastola ajilinde mwenyewe
 
Umekosea huku sio celebrity hamna ubuyu huku.

Heheheheeerr poleeee yako kila saa unawaza ubuyu tu,nilihisi....nikauliza, kuna ubaya gani?
Ulivyosema kua nimekosea lilikua jibu tosha, vinginevyo unaonesha ni jinsi gani ulivyo empty kichwani.
 
Back
Top Bottom