Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa sijui kumbe uongozi unapatikana kwa uchafu kama huu!! Waliotawala muda mrefu watueleze vizuri!!Sasa ukiambiwa hata ushindi huu wa Kimbunga wa CHADEMA unatokana na viungo vya Albino na uchawi wa Rukwa utakataa? Usidhani wachawi wako CCM tu. Hili ni letu sote WATANZANIA. Dunia ingine ndivyo inavyotutazama.
Ndio uamini ccm ni kikundi cha wa wachawi. Ni muungano wa wahalifu.Kinana ni retired Col. wa jeshi.
Hivi CCM huwa wanatumia fisi kwenye mikutano!!
Mkuu tunamuomba Mungu tuwe hai ili siku ya kumwagwa huo UKWELI tuwepo. Kumbe hata fisi hutumiwa kwenye mikutano aiseeMkuu...mimi ninayosema nina ushahidi mnadhani nadanganya?
Ni kweli tupu....Muda ukiwadia tutauweka wazi kila mtu ashuhudie
Msiwaone watu wengine wanaonekana kama watu...Ni wanyama jamani nyie acheni tu
Kauli yako yenyewe inachangia kuua Albino. Ni lini Watanzania tutajua kuongea? Kumbe basi inawezekana kupata huo Utajiri ama Urais kwa kuua wengine? Tangaza haiwezekani kwa namna yoyote ile kupata utajiri kwa mtindo huo. Kila mtu amekuwa mchawi ama mganga wa kienyeji kwa kuunga mkono aina ya uwongo na udanganyifu unaotumiwa na wachawi na waganga wa kienyeji. Msema uwongo ili ajithibitishe kwa waamini wake kwamba anayoyasema yanaleta maana, atatafuta kuyakamilisha kwa namna yoyote ile. Tumia lugha ya kubatilisha si kuunga mkono kwamba inawezekana.
Mkuu samahani kuna tajiri na masikini na kilio cha masikini huwa kiiza na cha tajiri huwa kinapaa mbengu saba ni sawa sawa na siku mmoja tuu huwa msako mkali lakini ni masikini na wakumlinda ni mungu tuu na siyo dolaTutaendelea kupiga kelele mpaka wakereke! Mbona akiuawa mtu wao watuhumiwa hukamatwa fasta?
Mkuu katika maisha lazima tuishi na principles ambazo ni endelevu na zinazoheshimu UKWELI.Halafu ujue masopakyindi unakuwaga na busara wakati mwingine ukiamua..!
Chadema hatuna imani hizo ccm asilimia kubwa jando meadisiwa tuu kutokana na kuadisiwa imani zakishenzi zimewaponzaSasa ukiambiwa hata ushindi huu wa Kimbunga wa CHADEMA unatokana na viungo vya Albino na uchawi wa Rukwa utakataa? Usidhani wachawi wako CCM tu. Hili ni letu sote WATANZANIA. Dunia ingine ndivyo inavyotutazama.
Ivi kwann isisomwe albadir.....this is just too much. Dah aisee....
... ''hana gete yaya ukuyinha kula ICCM bhangwicha u Yohana'' ...
CCM haiwezi kukwepa lawama za adha zote wanazipata Watanzania kwa sasa. Kujitakasa kwao machoni pa dunia na mioyoni mwa wananchi ni kuhakikisha wanaongoza nchi kwa uzalendo, sheria na haki. Ninachelewa kusema it is too late kwa sasa.
CCM imeua Tanzania, tutunge nyimbo zitakazo tupa mshikamano na inspiration ya kufufua nchi yetu kwa umoja, upendo na uzalendo. Tunaweza kuinua taifa letu na kusahau yaliyopita, ingawa tutayatumia katika marekebisho na maboresho.
Sasa hapo CCM inahusishwa vipi moja kwa moja na mauaji ya maalbino? Sometimes watu wanaokaa kwenye vijiwe vya kahawa naona kama wana mtindio wa ubongo. Haiwezekani ukurupuke na useme kuwa CCM wanahusika na mauaji ya Albino bila kuthibitisha kauli yako.
Jana nimeangalia kipindi cha "The Sporah Show" wageni wakiwa ni Albino mmoja hivi na mwanaharaki fulani wa Kizungu. Albino yule alisema kuwa wanauawa na kukatwa viungo maana eti ukitumia viungo vyao basi utaweza kufanikiwa kibiashara kama ni mfanyabiashara au kufanikiwa kisiasa kama ni mwanasiasa. Hapa huyu alizungumzia wafanyabiashara na wanasiasa.
Kwa mifano hiyo nashindwa kuunganisha dots mnaposema CCM wanaua albino wakati kila chama cha siasa kuna wanasiasa ambao ndio washukiwa wakubwa wa mauaji ya albino. Ina maana linapokuja suala la mauaji ya albino kwa matakwa ya kisiasa na vyeo CHADEMA waho hawausiki wakati wote wanasiasa!! Kwanini waseme CCM tu? Huo ni upotoshaji mkubwa sana.
tatizo albadiri za siku hizi hazina uzito....Masheikh wenyewe madhambi kibao......