Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Imetolewa mara ya mwisho: 09.12.2008 0156 EAT
•
'Muuaji' asimulia walivyomchinja albino

]

Na Bahati Mwiko, Shinyanga

JESHI la Polisi wilayani Bariadi mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na wanannchi wa kijiji cha Mkingwabie, wamefanikiwa kukamata kichwa na miguu miwili iliyonyofolewa kwenye mwili wa albino, Bw. Lyaku Nkanyabilu (50), aliyeuawa kikatili mjini hapo na kuzikwa mwishoni mwa wiki iliyopita.

Viungo hivyo vilipatikana jana nyumbani kwa Bw. Mbonje Mawe (41), mkazi wa kijiji hicho na Majira ilishuhudia polisi wakishirikiana na wananchi kufukua kichwa cha marehemu Nkanyabilu nyumbani kwa mtuhumiwa wa mauaji.

Baada ya kufukuliwa kichwa hicho, Bw. Mawe aliongoza kundi la polisi na wananchi hao kwenda sehemu iliyokuwa imefukiwa miguu ya albino huyo ambapo ilifukuliwa ikiwa imefungwa na gunia.

Bw. Mawe alikiri kushiriki mauaji hayo na kuwataja wenzake sita anaodai kushirikiana nao, akiwemo Mwenyekiti wa kijiji hicho, pamoja na wenyeviti wawili wa vitongoji. Alisema walikuwa na nia ya kuuza viungo hivyo kwa wateja ambao walikuwa wakiwasiliana.

Akisimulia tukio zima lilivyokuwa, Bw. Mawe alidai siku ya tukio akiwa na wenzake sita, walipanga kumuua Bw. Nkanyabilu kwa kushirikiana na shemeji yake, Bw. Sayi Gamani.

Alidai Bw. Gamani alimdanganya Bw. Nkanyabilu kuwa anampeleka hospitali kumtibu maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kabla ya kushirikiana kumkamata na kwenda kumuua.

"Ilipofika saa saba usiku, tulimkamata Bw. Lyaku (Nkanyabilu) na kumpeleka mtoni, tulipofika huko tulimlazimisha kuingiza kichwa kwenye maji hadi alipokufa, tukamchinja, tukamkata miguu na baada ya hapo, tukaiingiza viungo hivyo kwenye gunia moja na mwili wake kwenye gunia lingine na kutumbukiza mwili wake kwenye maji," alidai.

Alidai baada ya hapo, walibeba kichwa na miguu na walishauriana waviweke nyumbani kwake (kwa Bw. Mawe) wasubiri wateja hao ambao walikuwa wakiwasiliana nao kutoka Mwanza mjini, Lamadi na Kahama

Mkuu wa Polisi wilayani Bariadi, Mrakibu wa Polisi, Bw. Paul Kasabago, akiwa eneo la tukio alisema kupatikana kwa viungo hivyo kumetokana na ushirikiano mkubwa wa wanakijiji hicho ambao aliwashukuru kwa kuonesha ushirikiano wa dhati na ulizi shirikishi.

Aliwataja wanaoshukiwa na Polisi kuhusika katika tukio hilo kuwa ni Mwenyekiti wa kijiji hicho, Bw. Chenyenye Kishiwa (64), Bw. Sayi Gamanya (47), Bw. Gumbu Nzige (48), Bw. Mboji Mawe (48), Bw. Sayi Mafize (32) na Bw. Salum Mshamamba (52). Wote ni wakazi wa Mkingwabie.

Naye Anneth Kagenda anaripoti kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Walemavu la Haki za Kisheria na Maendeleo, Bw. Gidion Mandesi, jana jijini Dar es Salaam alisema Serikali imeshindwa kudhibiti mauaji ya albino yanayoendelea.

"Serikali inataka kutuambia imani za kishirikina zimeanza wakati huu, mbona hata zamani zilikuwapo na (albino) walikuwepo mpaka wamezeeka hawa kuuawa kama ilivyo sasa," alisema Bw. Mandesi.

Bw. Mandesi alishauri serikali itumie raslimali zake kuwakusanya maalbino na waganga wa jadi, ili wajadili jinsi ya kukomesha mauaji hayo.

Naye Gladness Mboma, anaripoti kuwa Kitengo cha Makosa Dhidi ya Wanadamu kimewanasa zaidi ya watu 57 wakiwemo waganga wa jadi, wafanyabiashara wa madini na wavuvi na kuwafungulia mashtaka ya kuhusika na mauaji ya albino katika maeneo mbalimbali nchini.
"Death penalty! make an example out of them. iwe funzo kwa anybody else who might have athe idea of killing. Dunia haina wema anymore.

Mdhibiti Mkuu wa Kitengo hicho, Bibi. Sidney Mkumbi, alisema hayo juzi wakati alipokuwa akiojiwa katika kipindi cha kipima joto kilichorushwa na kituo cha televisheni cha ITV.

Bi. Mkumbi alisema watuhumiwa hao walikamatwa katika mikoa sita baada ya polisi kufanya msako mkali dhidi ya wahusika wa vitendo hivyo na kwamba wengi wa watuhumiwa hao wanatoka katika mikoa ya kanda ya ziwa ikiwemo Mwanza, Shinyanga, Mara, Kigoma, Kagera na Mbeya.

"Watu wengi wanadhani sisi hatufanyi kazi dhidi ya matukio haya ya kikatili, juhudi zipo na mafanikio yake ni kukamatwa kwa watu zaidi ya 57 wakiwemo wafanyabiashara 13 miongoni mwao watano walikutwa na viungo vya binadamu ambavyo havijathibitishwa kama ni vya albino au la," alisema.

yaani every which way one goes, wanadamu have no humanity left, yaani kuchinjana kwa sababu ya pesa, siasa tribe. In other parts of the world watu wana chinjwa for body parts for transplant. When a victim is lucky enough to wake up, they find themselves missing a kidney, amefanyiwa opereshen.We have to pray to God always for protection.
 
Mimi nawaambia serikali inacheza! Inabidi watu aandamane kutaka hatua kali zichukuliwe. Nilishasema inabidi kunyonga watu kadhaaa adharani ili jambo litaisha!!! Mimi naona raisi anacheza, inabidi ku-push ili hawa watu wahukumise haraka sana.
 
People Grow up:

Serikali ifanye nini hapa ???
 
HIVI,leo naingia kibaruani,nikakuta gazeti juu ya meza,wenzangu waliliweka mahususi for me,ndani kurasa mbili repeat kurasa mbili kulikuwa na story ya mauaji ya albino's in tanzania,frankly wakaanza kuniuliza maswali.sikuweza kuwajibu cause how do you explain mpaka wakuelewe,on reading the paper it really touched me 'they are being hunted to satisfy growing demand for their body parts and blood to use in black magic'. UKEREWE has the worlds highest concentration of albinos. inasikitisha katika karne hii haya mambo yapo lilimalizia gazeti la SUN la uingereza la tarehe 9 dec 2008
 
... 😱 khee? hebu temea chini, puuuuu!

Be careful what you wish for!

...kumbuka, nawe ni mhusika, do something to stop it!

You shut up, wewe umefanya nini mpaka sasa, una uwezo wa kuzuia kwa nafasi yako? this is crime, do you have power to stop? otherwise wewe ni Masha unayeweza kutoa 7 days kwa mambo yasiyokuwa na Tija. Take care, next time you be hanged naked....
 
Mauaji ya Kimbali ndo yapi? Mauji ya Albino ni janga la Kitaifa na ni mauaji ya Kimbali kwani yanalenga kuangamiza kundi fulani la watu katika Jamii. Serikali yenye dhamana ya kuwalinda watu hawa imeshindwa kutekeleza wajibu wake kwani pamoja na kutoa takwimu za watu waliokamatwa bado Albino wanakufa na serikali imeendelea kushindwa kuchukua hatua madhubuti kumaliza tatizo.

Hivi mahakama ya Kimataifa hapa Arusha au The Hague haiwezi kuchukua hatua kwa Laurence Masha, Waziri mwenye dhamana katika sakata hili kwa kushindwa kuchukua hatua sitahili kumaliza tatizo hili, na kuacha mauji kuendelea. Hakika Masha ameshindwa kutimiza kiapo chake, apelekwe ICC The Hague. Siamini kama Masha ameshindwa kuchukua hatua kama zile alizochukua Mwapachu dhidi ya Majambazi.

Masha unastahili kushtakiwa ICC kwa kuhusika na kushindwa kuzuia Mauaji ya Kimbali. Natoa changamoto kwa wanaharakati, Masha apelekwe the Hague ndani ya siku saba ikiwa kweli tunafuata utawala wa sheria.
 
Kwenu wananchi,,hii ni karaha kama si laana ya maisha,,sijawahi kuona mauaji
yakifanyika hivi tangu nizaliwe miaka 35 iliyopita na cha ajabu ni kuona WAZIRI anaeshugulikia usalama wa wananchi akiwa na nguvu kabisa
bila aibu ya kuzaliwa kupinga hadharani vyombo vya wanahabari kwa kuwashambulia ::..::..:WANAHABARI WANAENEZA UONGO WA MAUAJI
HUKU WATU WAKIUWA NA WAZIRI HUSIKA AKIKAA KIMYA!!!JE HUYU ANATOFAUTI GANI NA
VIONGOZI WENGINE WALIOFIKISHWA MAHAKAMA YA THE H
 
Last edited by a moderator:
The hague!!kama kuna mtu amabae ataonyesha maumivu kwa hawa ndugu zetu albino's basi amwambie kwamba watanzania tumechoka badala ya kukaa na kukimbizana na umbea na chokochoko na wakina mengi..nafasi na wakti umefika kwa waziri kuangalia masilahi ya taifa ,,,badalaya maslahi ya mtu binafsi...tunaomba kama inawezekana huyu bwana afikishwe mahakama ya ...........
Haraka iwezekanavyo!!kwa kushawishi mauaji ya maalbino
 
Jamani huyu kwa nini asirizaini jamani
watanzania tuamke tusikubali wahuni kama hawa kutuongoza:
 
Ukweli ni huu:

1. JK atangaze hali ya hatari kwa taifa kwa Albino issue is just an indication of the evil forces consuming the nation.

2. Mtu kuchinjwa kama Kuku huku wengine wakipita na kutizama na kuangalia ..lakini wanaendelea na shughuli zao ni INDICATOR kwamba.
2.1 UTU wa Taifa umefikia kiwango cha chini kabisa tangu kuumbwa ulimwengu.

2.2 Matukio mengi kudhibitisha utu katika hali ya chini kabisa yako wazi..rama mla vichwa vya watu, ufisadi ulio kidhiri, upuuzi wa kijinga kabisa kwa viongozi wenye madaraka....The next will be ..... kutoweka kabisa kwa sheria...na kila mtu kuua mtu yeyote...kila anapohitaji....na kama anavyotaka.

AND

No Body will be there to bother...or to assist.

So something sereouse has to be done NOW!!!! To serve this country!

Isichukuliwe tu kuwa ni kuwaua albino....you kno what.... if you extrapolate ...this issue... Hutadhubutu kuona the darkness of the future we r posing to face..!
 
Mama Mia
Mama Mia has no status.
JF Senior Expert Member Join Date: Sun Aug 2008
Posts: 326
Rep Power: 21

Thanks: 127
Thanked 120 Times in 73 Posts
Credits: 1,085,185

Mchungaji albino aishi mafichoni kwa vitisho vya kukatwa viungo

--------------------------------------------------------------------------------

Mchungaji albino aishi mafichoni kwa vitisho vya kukatwa viungo
Na Burhani Yakub, Tanga.

MCHUNGAJI wa Kanisa la Free Pentecost Church ( FPCT) wa Tarafa ya Masama mkoani Kilimanjaro mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Emmanuel Swai ametoweka nyumbani kwake na kwenda mafichoni akihofia kuuawa.

Mchungaji Emmanuel ambaye anaongoza makanisa mawili katika Tarafa hiyo likiwamo la Sawe hajaonekana kanisani wala nyumbani kwake kwa zaidi ya wiki moja sasa baada ya watu wasiojulikana kumtumia ujumbe kwenye simu yake kumtishia kumuua.

Mchungaji Kiongozi wa FPCT, Mkoa wa Kilimanjaro,Cleoper Kweka, alilifahamisha Mwananchi jana kwa njia ya simu kuwa Emmanuel ametoweka na nyumbani na kwamba haijajulikana alikojificha.

Alisema taarifa za kutoweka kwa Mchungaji huyo alizipata wiki iliyopita baada ya

watu wa familia yake pamoja na waumini wa makanisa anayoongoza kumtaarifu kuwa

kiongozi wa hawamuoni.

Mchungaji kiongozi huyo alisema baada ya kusikia taarifa hizo alikwenda Sawe

kufuatilia na kukuta mchungaji huyo hayupo na kwamba hata namba yake ya simu ya

mkononi aliyokuwa akiitumia aliibadilisha kwa kuhofia kuuawa.

Anasema mwishoni mwa wiki iliyopita Mchungaji Emmanuel alimpigia simu kumtaarifu kuwa yuko mafichoni ingawa hakubainisha mahali alikojichimia.

''Nilipopata taarifa hizi, niliwasiliana na kiongozi wa kikundi cha wanaharakati wa walemavu ambaye pia ni albino nilyetajiwa kwa jina moja la Toner ambaye yuko Tanga na kumpaa taarifa hizi na kuomba ushauri zaidi,'' alisema Kweka.

Kweka alisema aliamua kutoa taarifa hizi kwa Toner kwa kuwa ni mwanaharakati ambaye yupo mstari wa mbele kutetea haki za maalbino na pia ni mtumishi katika kituo kinachojihusisha na utoaji huduma kwa vijana na watoto wenye ulemavu, chenye makao yake makuu jijini Tanga.

Akizungumza na Mwananchi jana kiongozi huyo, Josephati Toner, alikiri kupta taarifa hizo na kufafanua kuwa Emmanuel hakubali kuwasiliana na mtu yeyote kwa kuwa haamini kama ni mtu mwema kwake na kwamba anahofia kuwa wanaweza kumtafuta na kumuua.

Hata hivyo ,Toner alifanikiwa kumuunganisha Mchungaji Emmanuel na Mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu baada ya kumpa maelezo kuwa mmoja ni mchungaji na mwingine ni mwandishi wa habari.

Katika mazungumzo naye, Mchungaji Emmanel alisema ameamua kujificha baada ya kupokea ujembe mfupi wa maadishi kwenye simu yake zikimitishia kuwa popote atakapokutwa atauawa na kukatwa viungo vyake.

''Nazungumza na wewe kutokana na imani niliyonayo kwa Toner, lakini kwa taarifa yako siwezi kujitokeza kwasababu walionitumia meseji wamesema wataniua na kukatwa viungo vyangu,'' alisema Mchungaji Emmanuel.

Mchungaji huyo alisema anahisi kuwa watu hao waliipata namba ya simu yake kwa waumnini wake na kwamba amelazimika kuikimbia familia yake pamoja na shughuli za kanisa ili kunusuru maisha yake.

Alisema kuna mambo muhimu ambayo ameyakosa baada ya kujificha ikiwamo ibada ya ubatizo wa mtoto wake ambaye alibatizwa Jumapili iliyopia wakati akiwa

mafichoni.

''Sina la kufanya katika hili ila naomba msaada wako, haya ni maisha ya mateso na sijui nitaishi hivi hadi lini,'' alisema kwa sauti ya unyonge iliyojaa masikitiko.

Baada ya kupata taarifa hizo, Mwananchi ilikwenda kwa Afisa Upelelezi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga, Seleman Nyakipande, ambaye aliwawasiliana na jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ili waweze kushughulikia tatizo hilo.

''Nimewasiliana na RCO wa Kilimanjaro hadi hivi sasa tunapozungumza ameshatuma kikosi kwenda eneo hilo na ameaniahidi kuwa polisi wamelipa uzito wa juu tatizo hilo na kwamba watahakikisha linapatiwa ufumbuzi haraka.''

Nyakipande aliuomba uongozi wa FPCT Mkoa wa Kilimanjaro kuwasiliana na Mchungaji Emmanuel ili aende katika kituo cha polisi cha Msama ili apwewe msaada z
 
Mama mia hivi wewe hujui,inawezekana Masha ni Freemason.Unajua hawa watu wanatoa makafara sana,kwa hiyo inawezekana mauaji ya maalbino ni katika mpango wa kutoa kafara.Sasa kama ni hivyo,unathani atafanya nini,si anakaa na kufurahia kwamba mambo yao yanafanikiwa?
 
Jamani huyu kwa nini asirizaini jamani
watanzania tuamke tusikubali wahuni kama hawa kutuongoza:

Viongozi if they r weak and peolple pleaser.

With Kiongozi ambaye ni peolple pleaser.... ANAOWAONGOZA WATALIPA GHARAMA ZA UDHAIFU WAKE

"People Pleasers" Pay a High PricePeople pleasers are desperate people. Compulsive pleasing is different from an altruistic desire "People Pleasers" Pay a High Price

Such weeak peolple ware never meant to Rule. Ni Aibu tupu.

Tunahitaji nini mpaka tuamke na kuona cha kufanya....Ni wakati albino wakimalizika na watu wafupi kuanza kuchinjwa then wafupi watamalizika tu..then warefu...You see ni ujinga mtupu....HATUNA SEREKALI!
 
Mama Mia
Mama Mia has no status.
JF Senior Expert Member Join Date: Sun Aug 2008
Posts: 326
Rep Power: 21

Thanks: 127
Thanked 120 Times in 73 Posts
Credits: 1,085,185

'Muuaji' asimulia walivyomchinja albino

--------------------------------------------------------------------------------

Imetolewa mara ya mwisho: 09.12.2008 0156 EAT
•
'Muuaji' asimulia walivyomchinja albino

]

Na Bahati Mwiko, Shinyanga

JESHI la Polisi wilayani Bariadi mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na wanannchi wa kijiji cha Mkingwabie, wamefanikiwa kukamata kichwa na miguu miwili iliyonyofolewa kwenye mwili wa albino, Bw. Lyaku Nkanyabilu (50), aliyeuawa kikatili mjini hapo na kuzikwa mwishoni mwa wiki iliyopita.

Viungo hivyo vilipatikana jana nyumbani kwa Bw. Mbonje Mawe (41), mkazi wa kijiji hicho na Majira ilishuhudia polisi wakishirikiana na wananchi kufukua kichwa cha marehemu Nkanyabilu nyumbani kwa mtuhumiwa wa mauaji.

Baada ya kufukuliwa kichwa hicho, Bw. Mawe aliongoza kundi la polisi na wananchi hao kwenda sehemu iliyokuwa imefukiwa miguu ya albino huyo ambapo ilifukuliwa ikiwa imefungwa na gunia.

Bw. Mawe alikiri kushiriki mauaji hayo na kuwataja wenzake sita anaodai kushirikiana nao, akiwemo Mwenyekiti wa kijiji hicho, pamoja na wenyeviti wawili wa vitongoji. Alisema walikuwa na nia ya kuuza viungo hivyo kwa wateja ambao walikuwa wakiwasiliana.

Akisimulia tukio zima lilivyokuwa, Bw. Mawe alidai siku ya tukio akiwa na wenzake sita, walipanga kumuua Bw. Nkanyabilu kwa kushirikiana na shemeji yake, Bw. Sayi Gamani.

Alidai Bw. Gamani alimdanganya Bw. Nkanyabilu kuwa anampeleka hospitali kumtibu maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kabla ya kushirikiana kumkamata na kwenda kumuua.

"Ilipofika saa saba usiku, tulimkamata Bw. Lyaku (Nkanyabilu) na kumpeleka mtoni, tulipofika huko tulimlazimisha kuingiza kichwa kwenye maji hadi alipokufa, tukamchinja, tukamkata miguu na baada ya hapo, tukaiingiza viungo hivyo kwenye gunia moja na mwili wake kwenye gunia lingine na kutumbukiza mwili wake kwenye maji," alidai.

Alidai baada ya hapo, walibeba kichwa na miguu na walishauriana waviweke nyumbani kwake (kwa Bw. Mawe) wasubiri wateja hao ambao walikuwa wakiwasiliana nao kutoka Mwanza mjini, Lamadi na Kahama

Mkuu wa Polisi wilayani Bariadi, Mrakibu wa Polisi, Bw. Paul Kasabago, akiwa eneo la tukio alisema kupatikana kwa viungo hivyo kumetokana na ushirikiano mkubwa wa wanakijiji hicho ambao aliwashukuru kwa kuonesha ushirikiano wa dhati na ulizi shirikishi.

Aliwataja wanaoshukiwa na Polisi kuhusika katika tukio hilo kuwa ni Mwenyekiti wa kijiji hicho, Bw. Chenyenye Kishiwa (64), Bw. Sayi Gamanya (47), Bw. Gumbu Nzige (48), Bw. Mboji Mawe (48), Bw. Sayi Mafize (32) na Bw. Salum Mshamamba (52). Wote ni wakazi wa Mkingwabie.

Naye Anneth Kagenda anaripoti kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Walemavu la Haki za Kisheria na Maendeleo, Bw. Gidion Mandesi, jana jijini Dar es Salaam alisema Serikali imeshindwa kudhibiti mauaji ya albino yanayoendelea.

"Serikali inataka kutuambia imani za kishirikina zimeanza wakati huu, mbona hata zamani zilikuwapo na (albino) walikuwepo mpaka wamezeeka hawa kuuawa kama ilivyo sasa," alisema Bw. Mandesi.

Bw. Mandesi alishauri serikali itumie raslimali zake kuwakusanya maalbino na waganga wa jadi, ili wajadili jinsi ya kukomesha mauaji hayo.

Naye Gladness Mboma, anaripoti kuwa Kitengo cha Makosa Dhidi ya Wanadamu kimewanasa zaidi ya watu 57 wakiwemo waganga wa jadi, wafanyabiashara wa madini na wavuvi na kuwafungulia mashtaka ya kuhusika na mauaji ya albino katika maeneo mbalimbali nchini.

Mdhibiti Mkuu wa Kitengo hicho, Bibi. Sidney Mkumbi, alisema hayo juzi wakati alipokuwa akiojiwa katika kipindi cha kipima joto kilichorushwa na kituo cha televisheni cha ITV.

Bi. Mkumbi alisema watuhumiwa hao walikamatwa katika mikoa sita baada ya polisi kufanya msako mkali dhidi ya wahusika wa vitendo hivyo na kwamba wengi wa watuhumiwa hao wanatoka katika mikoa ya kanda ya ziwa ikiwemo Mwanza, Shinyanga, Mara, Kigoma, Kagera na Mbeya.

"Watu wengi wanadhani sisi hatufanyi kazi dhidi ya matukio haya ya kikatili, juhudi zipo na mafanikio yake ni kukamatwa kwa watu zaidi ya 57 wakiwemo wafanyabiashara 13 miongoni mwao watano walikutwa na viungo vya binadamu ambavyo havijathibitishwa kama ni vya albino au la," alisema.
 
Mwinyi, all his failings aside, aliweka an impeccable standard.

You fail to protect the people, you do the honorable thing.Resign.

The Japanese consider Kamikaze honorable, even the Mafiosi have a code of "death before dishonor", a Tanzanian mMinister cannot even resign!
 
Mama Mia
Mama Mia has no status.
JF Senior Expert Member Join Date: Sun Aug 2008
Posts: 326
Rep Power: 21

Thanks: 127
Thanked 120 Times in 73 Posts
Credits: 1,085,185

Mchungaji albino aishi mafichoni kwa vitisho vya kukatwa viungo

--------------------------------------------------------------------------------

Mchungaji albino aishi mafichoni kwa vitisho vya kukatwa viungo
Na Burhani Yakub, Tanga.

MCHUNGAJI wa Kanisa la Free Pentecost Church ( FPCT) wa Tarafa ya Masama mkoani Kilimanjaro mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Emmanuel Swai ametoweka nyumbani kwake na kwenda mafichoni akihofia kuuawa.

Mchungaji Emmanuel ambaye anaongoza makanisa mawili katika Tarafa hiyo likiwamo la Sawe hajaonekana kanisani wala nyumbani kwake kwa zaidi ya wiki moja sasa baada ya watu wasiojulikana kumtumia ujumbe kwenye simu yake kumtishia kumuua...

Alisema kuna mambo muhimu ambayo ameyakosa baada ya kujificha ikiwamo ibada ya ubatizo wa mtoto wake ambaye alibatizwa Jumapili iliyopia wakati akiwa

mafichoni.

''Sina la kufanya katika hili ila naomba msaada wako, haya ni maisha ya mateso na sijui nitaishi hivi hadi lini,'' alisema kwa sauti ya unyonge iliyojaa masikitiko.

.... Nyakipande aliuomba uongozi wa FPCT Mkoa wa Kilimanjaro kuwasiliana na Mchungaji Emmanuel ili aende katika kituo cha polisi cha Msama ili apwewe msaada z

Nakumbuka mmoja or somewhere...Maalbino walikuwa wanadai kuwa Swala , Simba, Tumbili na wanyama wengine kule Serengeti na Manyara wanalindwa...Iweje wao Albino washindwe kulindwa?????

What a shame...???

Shame .. shame...shame ..Shame...shame again and again....shame...Sijui nitaijiitaje Mtanzani while all this happening to my own country.

Nasema Tena ...This is AN INDICATOR Ya UOZO MKUBWA uliofichika machoni kwa Jamiii hii.

UTU kama Chombo Mtanzania alichijivunia ulimwenguni kinameguka kwa kasi ya kutisha .......Kwani walio madarakani kwa sasa Tuseme wana utu?

ALIYE NAO (UTU) AJITOKEZE na MIMI NITAONYESHA KUKU MWENYE MENO!!!

HAYUPO HATA MMOJA..!

Hakuna Kiongozi aliyenao.... ALL THEY DONE!!!

Tanzania Ni Taifa lililokuwa halina mambo mengi but IT was full of NOBILITY AND HUMANITY....! Mafisadi wameumaliz awote...

SO watanzania tuamke...!!
 
Mama mia hivi wewe hujui,inawezekana Masha ni Freemason.Unajua hawa watu wanatoa makafara sana,kwa hiyo inawezekana mauaji ya maalbino ni katika mpango wa kutoa kafara.Sasa kama ni hivyo,unathani atafanya nini,si anakaa na kufurahia kwamba mambo yao yanafanikiwa?

AND this is the one of the UOZO ninaousema unakuwa INDICATED by what is happening!

Waziri anaonekana Mtu kwa kuwa anava suruali na kaputula....na anakula kwa ummma na Kisu na anaigia kwnye jumba linaitwa bunge...but hiyo haimuhakikishiii kuwa ana UTU.

Lazima tuwe makini MTU ni tofauti na UTU.

Wakati mwingine bora kuwa na Mnya ma wa Nyumbani anayejiheshimu kuliko mtu aliyefilizika UTU hasa akiwa Kiogonzi>
 
Masha ukiwa kama ni waziri mwenye mamlaka ya kulinda jamii napenda kukuakishia hawa watu kama tunaendelea kuwlainda hata kama wanashirikiana na baadhi ya viongozi kwa ajili ya utajiiri wao ama wako napenda kukuabarisha ipo siku wataamia kwetu na kuwaacha hao albino unaowadharau !!!!
Hav a gudnyt all!!!!
Mungu bariki tanzania mungu walinde all albino's
 
Nakumbuka mmoja or somewhere...Maalbino walikuwa wanadai kuwa Swala , Simba, Tumbili na wanyama wengine kule Serengeti na Manyara wanalindwa...Iweje wao Albino washindwe kulindwa?????

What a shame...???

Nafikiri na uhakika kwamba serikali pamoja na kudai katika katiba yake kuwa raia wote ni sawa, mimi napingana nayo kwani wanavyotekeleza majukumu yao hawayatekelezi kwa usawa kwa wote. Hii sio kwa hawa ndugu zetu wapenzi wenye ulemavu wa ngozi tu bali kila sekta serikali imekuwa na ubaguzi na kupendelea upande mmoja zaidi na kuacha mwingine.

Ktika kuangalia zaidi maslahi yake serikali chini ya viongozi husika wamejikuta wanashindwa kujali haki ya kuishi ya hawa ndugu zetu kwa kuwakamata na kuwatokomeza wauaji wakati krtk kipindi hiki wawaongezee ulinzi hawa ndugu zetu ili waishi kwa amani, inafikia sehemu kuna baadhi yao hutembea na filimbi na wanahakikisha wanapotembea hakuna mtu aliyekaribu yake, hii yote ni kuogopa kuuawa na watu ambao serikali ikiamua inaweza kuwatokomeza.

Natamani sana siku moja tuwapate viongozi watakaoongoza nchi hii vyema, wakilinda uhai iliyo nguvu ya taifa bila kuangalia tofauti zetu za maumbile, dini, jinsia na kadhalika.
 
Ushawahi kusikia wizara moja ya serikali inalaumu nyingine ?

Halafu, labda ni kigazeti feki ndio hakijaandika vizuri, sijui ni Hazina ndio wanagawa pesa ama Bunge ?

Ministry blames Treasury for `failure` to fight albino killings

IPP MEDIA
2008-12-06 11:10:21
By Angel Navuri

The Home Affairs ministry has cited inadequate resources as the reason for its failure to curb the problem of albino killings and laid the blame on the Treasury.

``The killings are an embarrassment and a disgrace to the good image of our country. Police are failing to operate well, despite making efforts, due to lack of resources,`` Home Affairs deputy minister Khamis Kagasheki in a recent interview with this paper.

``My ministry has been pleading with our Finance counterparts to have them increase our budget but to no avail. We are seen to be doing zero work,`` he noted, responding to charges that the ministry had failed to curb the killings.

``It is high time the police force got more fully equipped to curb the killings. In the course of carrying out our duties we tend to run into unexpected problems, so the Treasury must meet us half way if we are to succeed in this serious undertaking.

Kagasheki emphasized that the budget set for his ministry was not adequate ``vis-a-vis the challenges we keep facing``.
He mentioned some of the things that the police force had been complaining about but to no avail as shortage of motor vehicles, fuel and other operational equipment.

``I strongly believe in the imperative need to maintain the country`s security and the only way to do so is to invest heavily. We shouldn`t – and cannot - run away from that,`` explained Kagasheki.

He said the public has the right to be angry because they had not seen enough efforts by the ministry in tackling the problem (of albino killings), adding: ``All they have been seeing is an increase in the number of such incidents.``

Asked for comment on the matter yesterday, Finance and Economic Affairs minister Mustafa Mkulo, would not go into any details. The most he said was that getting money involved a lot of procedures.

There are more than 8,000 registered albinos in the country. At least 26, most of them women and children, have been killed or maimed over the past year.

These are victims of a growing criminal trade in albino body parts. So far, 47 people have been arrested in connection with albino killings - 17 in Mwanza, six in Mara, two in Kagera and the remaining in Mbeya and Shinyanga regions.
 
Back
Top Bottom