Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

We umekaa kupinga tuuu huyu ni mchungaji wa kanisa la kikristo huyu anatangaza dini kwa vitendo........hizi dini nyengine.

SAHIBA.

Bua ha ha..

Akili matope. Hivi ulishawahi kukaa chini na kujiuliza tofauti baina ya mchungaji na dini ? au kwako hivi ni sawa tu? How about 'Mwamedi' and 'Baby 'Aisha'? May be 'mpapai' na 'nguruwe'? Unaweza kutofautisha ?

Kama unaweza kutofautisha nadhani jibu utakuwa umelipata, kama bado huwezi kutafautisha, basi utakuwa unastahili kuwa Mirembe right this minute maana wewe ni hatari kwa jamii na kwako mwenyewe.

BTW, hivi ulishakaa chini nakujiuliza mtume wako Mwamedi a.k.a allah angeishi ktk karne hii angeshapelekwa The Hague kwa makosa yafuatayo?

1. Pedofilia
2. Murderer
3. Ethnic cleanser
4. Lecher (kama Liyumba vile)
5. Mwivi wa majiani
6. Liar na fisadi
7. etc

😀 😀 😀
 
crisp and cheese...! Huyu mchungaji yapaswa haombewe...!
in the name of father... the sun... and in the-hole-of hell he- goes... Amin

Mtu wa kwanza kabisa anayestahili kupata maombezi ya nguvu ni mtume wako Mwamedi a.k.a allah.

Yaani kama mijidhambi yake aliyofanya angekuwa hai, angekuwa halali ya Pinda.. 😀 😀 😀
 
Jamani mchungaji ni binadamu kama walivyo wengine , udhaifu upo kwa kila mtu , kinachotakiwa ni kuyashinda majaribu ya ibilisi shetani. Huyu mchungaji kadanganywa na shetani na kujitumbukiza kwenye maovu. Kwa kuwa siku ya mwisho watu wote waliohai na wafu watakuwa kizimbani nawote watahumumiwa kulingana na matendo yao yaliofanya wakiwa hapo duniani, pamoja na kuuwa malbino,ufisadi, wizi, uongo,fitina,na mengineo yasiyompendeza mungu ikiwa na wale wote wanaowachafua wenzao kutumia magazeti na yale udaku na mtandao kuwatoa picha mabinti wa watu . Wajue siku ya kiama watahumiwa kadri walivyotoa hizo picha na moto watakiona.
 
Sijaelewa kwa nini watu wanahoji juu ya huyo mchungaji kuwa inocent au kasingiziwa. Nimejitahidi kusoma katika magazeti tofauti tofauti na kuipata habari kwa kina. Cha msingi ni kujiuliza kuwa je, kijiji na kata husika vilichotajwa vipo? je mchungaji wao ndiye au la? Kama kasingiziwa kanisa likanushe so tuwe na subira kwani sifikirii kanisa kupakwa tope likakaa kimya.
Pia wachungaji wengine ni wavamizi katika shamba la bwana tunajua wapo na siku zote wao huwa waharibifu zaidi ya ibilisi anayekuja wazi wazi. Ndo hao hao wanatembea na binti za watu, hata wengine kutolewa kafara na pia wengine huwa wachungaji wema bali hufika mahali wakarudi nyuma. Maadam katajwa na lazima ana wakuu wake wa kanisa basi na wakanushe.
 
Bua ha ha..

Akili matope. Hivi ulishawahi kukaa chini na kujiuliza tofauti baina ya mchungaji na dini ? au kwako hivi ni sawa tu? How about 'Mwamedi' and 'Baby 'Aisha'? May be 'mpapai' na 'nguruwe'? Unaweza kutofautisha ?

Kama unaweza kutofautisha nadhani jibu utakuwa umelipata, kama bado huwezi kutafautisha, basi utakuwa unastahili kuwa Mirembe right this minute maana wewe ni hatari kwa jamii na kwako mwenyewe.

BTW, hivi ulishakaa chini nakujiuliza mtume wako Mwamedi a.k.a allah angeishi ktk karne hii angeshapelekwa The Hague kwa makosa yafuatayo?

1. Pedofilia
2. Murderer
3. Ethnic cleanser
4. Lecher (kama Liyumba vile)
5. Mwivi wa majiani
6. Liar na fisadi
7. etc

😀 😀 😀

Acha chuki na jazba ndugu.Una uhakika gani kwamba aleyetoa hizo comments ni Muslim.Usikwe mvivu wa kufikiri.
 
angalia taarifa yenyewe ndiyo hii hapa

Source: Mwananchi

Thanks mkuu naona watoa habari ndio waliotuchanganya....sasa sijui yupi alikuwa sahihi hapa....na mimi habari yenyewe ni hii hapo chini mkuu;

Mchungaji ‘akutwa’ na vipande vya albino
Merali Chawe, Mbeya
Daily News; Tuesday,February 17, 2009 @19:17

Mchungaji wa Kanisa la Pentecoste lililopo Idiwili Kata ya Iyula, wilayani Mbozi anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa na mabaki ya mwili wa binadamu yaliyokuwa yakiuzwa Sh milioni 30.

Cosmas Mwasenga (39) alikamatwa Februari 13 mwaka huu akiwa na Luseshelo Mwashilindi ambaye inadaiwa alikuwa ameyahifadhi nyumbani kwake mabaki hayo. Mabaki hayo ambayo Polisi inahisi kuwa ni ya albino, ni vipande vinne vinavyosadikiwa kuwa sehemu ya mikono.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Zelothe Stephen alisema leo kuwa watuhumiwa hao walikamatwa katika eneo la Mlowo, Mbozi. Akizungumzia tukio hilo, Kamanda Zelothe alisema Februari 12 mwaka huu, polisi walipata taarifa kuwa kuna kikundi cha watu Mlowo, wana vipande vya mabaki ya mwili wa mwanadamu vinavyosadikiwa kuwa ni mabaki ya mwili wa albino.

Alisema taarifa hizo zilidai kuwa kikundi hicho kilikuwa kinatafuta wateja ili kuwauzia vipande hivyo na kwamba watu waliokuwa wanatafuta wateja waligawanyika katika Wilaya ya Mbozi na baadhi ya mitaa ya Jiji la Mbeya.

“Tuliweka mtego na kukutana na watu hao ambao walisema wanauza viungo vya ‘kunguru mweupe’ wakimaanisha albino, ambapo walikubaliana na kukutana na Mwashilindi ambaye alikuwa anahifadhi viungo na kufikia makubaliano ya kuvinunua kwa Sh milioni 30,” alisema.

Alisema Februari 13, taratibu za kupata kiasi hicho cha fedha zilikamilika na walipofika kwa Mwashilindi alitoka akiwa na vipande vinne vya mabaki ya binadamu vikiwa vimefungwa katika karatasi, na Polisi wakamkamata. “Baada ya kupekua katika nyumba ya Mwashilindi tulifanikiwa kupata dawa za binadamu, maji ya kuchanganya na dawa na koti jeusi mali ya Mchungaji Mwasenga,” alisema.
Aliongeza kuwa watuhumiwa wote wawili wanashikiliwa na watafikishwa mahakamani baada ya uchunguzi kukamilika. Kamanda Zelothe alisisitiza umuhimu wa wananchi kutoa taarifa Polisi na kusema kwa kufanya hivyo, ndipo vitendo vya mauaji ya albino vitapungua. “Tunapenda kuwaomba wananchi waendelee kutoa taarifa za siri kwa viongozi wa juu, ili ziweze kufanyiwa kazi haraka,” alisema.
 
Acha chuki na jazba ndugu.Una uhakika gani kwamba aleyetoa hizo comments ni Muslim.Usikwe mvivu wa kufikiri.

Ndugu kama ni mgeni hapa jamvini usidandie gari kwa mbele.......hawa wanafahamiana kwa lugha, hoja etc.

Kama unataka kujua kama SAHIBA ni muislam pitia posts zake zote then at end kama upo rational utaconclude kuwa ni usitadhi haswa!
 
Kwa kweli ndugu zangu wana JF hali kwa ndugu zetu Albino ni mbaya na inasikitisha,hebu angalia unyama huu hapa: MICHUZI
 
Uwezo tunao,nia tunayo,na sababu za kupinga mauaji wa kikatiri kwa Albino tunayo.
Je serikali inajituma vp katika mapambano haya?
Maana takwimu zipo wazi za Albino wetu katika maeneo husika je serikali inashindwa hata kuwaweka katika himaya wote kwa pamoja katika sehemu yanapo tokea mauaji?
 
Kwa kweli ndugu zangu wana JF hali kwa ndugu zetu Albino ni mbaya na inasikitisha,hebu angalia unyama huu hapa: MICHUZI

Yaani inatia uchungu na simanzi.
Huu ni ujinga kabisa hao wanao tangaza madau au tenda ya hivyo vitu mbona maskini wa kutupwa????????
Serikali ipo usingizini sana.
 
Acha chuki na jazba ndugu.Una uhakika gani kwamba aleyetoa hizo comments ni Muslim.Usikwe mvivu wa kufikiri.

Usidandie gari kwa mbele. Kama huna pointi unaweza ukabaki msomaji tu na mambo yakaenda.
 
Usidandie gari kwa mbele. Kama huna pointi unaweza ukabaki msomaji tu na mambo yakaenda.

Hili kwa kutukana haliwezekani hili Tindi la Bongo kichwa maji matusi ndio chakula yake hili liacheni..Asiyefunzwa na *****...........Think Twice.

SAHIBA.
 
Wana JF,
Hii link itakupeleka kwenye BLOG ya michuzi ambako kuna picha ya mtoto aliyeuwawa kwa kukatwa miguu. Tafadhali kama una roho nyepesi basi usifufungue hiyo link. Picha zinatisha.

Ila najiuliza swali moja, hivi hawa watu waliomkata huyu mtoto, ukitokea na kuwakuta hapo na huku una silaha kama bunduki, mhhhh Pinda aseme au asiseme, mie ntafyatua risasi na kuwamiminia hao jamaa. Ni hali ya kawaida ya binadamu. Yaani Newton's law of motion "In every action, there's equal and oposite reaction."

Narudia tena, PICHA ZINATISHA:-

MICHUZI
 
Hii ni aibu na kweli,

Pentekoste sii Walokole???

Vipi tena??

Tuamini dini/thehebu gani?

yeah ni walokole lakini lililokamatwa kwa kukutwa na viungo vya albino sio dhehebu au kanisa la pentekoste bali ni mchungaji au muumini wa hilo kanisa. Kama umeshawahi kufika Mbeya karibu kila baada ya nyumba chache kuna kanisa na hii inafanya asilimia kubwa ya wakazi wa huko kuwa wachungaji.... hivyo hiyo title ya huyo haramia isikupe shida
 
Sikonge,
Mkuu unajua hii kitu tunaifanyia mzaha sana kwa sababu wanaokufa wameisha jengewa hukumu subconsciously kuwa cursed ones..Na ndio maana unaona haya maswala ya siasa za sheria itumike..
Nimesema wazi huko ktk mijadala mingine kuwa swala la mauaji ya Albino hayana mjadala wa siasa wala tusiyape nafasi kabisa zaidi ya kuweka sheria kali dhidi ya wauaji..Nchi zote duniani hutangaza vita ktk maswala kama haya na sio kwamba wanavunja sheria kuwinda wauaji.. tumeyafanya kwa Majangili na hata Majambazi...
Ni muhimu ifahamike kwamba tupo vitani hawa jamaa hubeba silaha zao kuwinda ndugu zao Albino...they should be taken as armed and dangerous... hivyo nasi tutaweza tu kupambana na watu kama hawa kwa kubeba silaha vile vile...Iwe liundwe jeshi, taasisi ama kitu chombo chochote kile ambacho kazi yake kubwa itakuwa ku gather info zinazohusiana na hawa washenzi wakubwa..
Sikubaliani tu na swala la kutangaza zawadi au fedha kwani tamaa ya FEDHA ndio chimbuko la mauaji haya..Ukitangaza Utajiri kwa viungo vya albino unatangaza vifo na ukitangaza zawadi kwa wananchi basi hao wauaji wataanza kuua hata ndugu zao kuhakikisha hawaachi shahidi..
 
Wana JF,
Hii link itakupeleka kwenye BLOG ya michuzi ambako kuna picha ya mtoto aliyeuwawa kwa kukatwa miguu. Tafadhali kama una roho nyepesi basi usifufungue hiyo link. Picha zinatisha.

Ila najiuliza swali moja, hivi hawa watu waliomkata huyu mtoto, ukitokea na kuwakuta hapo na huku una silaha kama bunduki, mhhhh Pinda aseme au asiseme, mie ntafyatua risasi na kuwamiminia hao jamaa. Ni hali ya kawaida ya binadamu. Yaani Newton's law of motion "In every action, there's equal and oposite reaction."

Narudia tena, PICHA ZINATISHA:-

MICHUZI

Ukijaribu kuangalia matukiio haya na kutoa mwitikio unaottokana na hisia za uchungu na hasira jibu lake ni wazi kuwa ni kisasi! Sasa wewe utakapommiminia yeye Rais na ndugu wa huyo unayemmiminia akakuona unafanya hivyo na yeye anakuwa na haki ya kukutwanga na wewe risasi vile vile!

Ingekuwa kuuana kwa kisasi kunakomesha mauaji Gaza kungekuwa kumetulia, na mitaa ya Marekani ingekuwa kimya kutokana na drive by shootings!

Mnaopendekeza utawala wa kisasi mnapendekeza kitu ambacho kitashindwa kusuluhisha tatizo zaidii ya kumfanya mtu "ajisikie" vizuri tu! Kama matishio ya kuwaua yangekuwa yanatisha kweli unafikiri huyu mtoto angeuawa baada ya Waziri Mkuu kutoa tishio lake?

Tatizo ni kwamba watu hawataki kushughulikia motivation ya hizi crimes kwa sababu hawako tayarri kulipa gharama kubwa ya kuzikomesha na zaidi yake wanaishia kutoa "laana tu".

Kama habari za yule mchungaji wa Kipentekoste kukutwa na kiungo kinachodhaniwa ni cha albino zina ukweli na kuwa alikuwa anajaribu kukiuza kwa Tsh milioni 30 (kwa mara ya kwanza tumepata kiasi cha fedha), unafikiri ni kwa kiasi gani mtu atakuwa tayari kumsaliti mtu kama huyo au mfanyabiashara anayetaka kununua?

Jeshi la Polisi limetenga Tsh milioni 20 kuzawadia atakayetoa taarifa zitakazowezesha kufichua au hata kukamatwa wanaofanya biashara hii haramu. Unafikiri kwa mtu ambaye anajua akifanikiwa kuuza anapata milioni 30 ana sababu yoyote ya kumfichua mtu kwa milioni 20?

we are not serious kwenye hili! Hizi picha za mauaji ya namna hii tumeyaona kwenye mgogoro wa Israel na Hamas au kule Lebanon. Mara zote picha zinatuongoza kwenye kisasi, na kisasi huzaa kisasi hakizai mapatano au amani hata mara moja.
 
Back
Top Bottom